Making Him/Her ..a husband/Wife and a Friend

Marriage without friendship cannot work. To know whether or not you are friend with your husband asks yourself this question: Am I investing more emotional energy into husband than I am in a friend or child? If the answer is in the affirmative, then you are not friends with him and vive versa.

Ever since you begun dating you spent Friday nights out together. After getting married, did you keep up the tradition? I know you will list a lot of excuses here, but they are the ones killing the friendship.

A lapsed friendship can be restored with intentionality, sacrifice, perseverance, and especially prayer. A good first step is to find activities that you like to do together and then make the time do it. And simply be together.
 
Nimeisoma dada na uloyasema yana ukweli kabisa Fixed Point!

Kwa ndoa nyingi nilizoziona....waume ndo wanaongoza kwa kuogopeka, sasa sijui inamaanisha kuwa wa mama ndo wana kibarua kikubwa cha kuufanya huo urafiki uwepo??

Point nzuri sana. Hivi, wapi penye mstari baina ya kuogopeka na kuheshimika kwenye mahusiano baina ya mke na mume/rafiki?

Isije ikawa Mwj1 hapa anazungumzia huo mpaka in-term ya wapi panatenganishwa HESHIMA ya urafiki, na heshima ya 'ndoa'....
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point bana nikiona hiyo avatar yako nachanganyikiwa hata kuchangia nashindwa bana
hilo tabasam ni balaa #
Mr Rocky wewe endelea kuchanganyikiwa tu, sasa nifanyaje ndo tabasamu langu? ha haaaaaaaa.
Pole mwaya kwa kuishiwa points kwa tabasamu langu
 
Last edited by a moderator:
Nimeisoma dada na uloyasema yana ukweli kabisa Fixed Point!

Kwa ndoa nyingi nilizoziona....waume ndo wanaongoza kwa kuogopeka, sasa sijui inamaanisha kuwa wa mama ndo wana kibarua kikubwa cha kuufanya huo urafiki uwepo??
kwenye ndoa tunapaswa kuheshimiana na siyo kuogopana. kama wewe mdada utakubali kuingia kwenye ndoa ilhali ukiwa unamwogopa huyo mchumba wako, unafanya kosa kubwa sana. hutaweza kuondoa huo uoga ukiwa ndani ya ndoa, yaani utaendelea kuogopa maisha yako yote. Mimi naamini kama ukijenga mahusiano mazuri wakatio wa urafiki/uchumba, kuwa free na mwenzio, there is no way utakuja kumwogopa mkiwa ndani ya ndoa, lakini kama urafiki wenu ulikuwa wa kuogopana, mkioana mtaendelea kuogopana.
tunaweza tukawaelewa wazee wetu maana enzi hizo kulikuwa na uwezekano kabisa wa kuoana kabla hata hamjazoeana au hata hamjuani, kwa hiyo inachukua muda kumzoea mwenzio hasa ndani ya ndoa, na kusipokuwa na jitihada za lazima, mtaishia kuogopana mpaka mwisho wenu, lakini siku hizi................................ watu mnakuwa pamoja, mnaachana, mnaanza tena, mnaachana.................... mpaka mje muoane ............
 
Asante sana Fixed Point.....nadhani Mbu atakuwa keshapata jibu lake kuhusu kuogopana na kuheshimiana kwa mtu na mwenza wake!
 
Last edited by a moderator:
Sifikiri kwamba mumeo ni lazima awe rafikiyo....!ingawa akiwa hivyo ni nzuri tu....!love marriages nyingi huanza na urafiki then lovers na wengine "huzoeana" tu kwa minajili ya kutengeneza njia ya kuwa wapenzi...!na hizi ndizo ndoa zenye matatizo dunia nzima(love marriages)!mnajua kwanin??wanaooana hawazijui nguzo za ndoa imara...!wanakuwa watu wa fanyafanya....na mipangomipango...!

mi siamini sana kwenye urafiki....!ingawa mkiwa marafiki mtainjoi....!

ndoa zilikuwa enzi izo....!wazaz wanadiskasi unakabidhiwa mke...!hakuna urafiki...ndoa tu
 
Back
Top Bottom