BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
muda wa kuwa rafiki ni kipindi kile mnafukuziana.....mfanye awe rafiki then awe mwenza.....
does being a husband spouse negate being a friend ?, I guess mtu anaweza kuwa vyote bila tatizo as rafiki anakuwa mume/wife..
Rafiki as you share everything na hakuna siri, mpo comfortable na kila mtu na mnaenjoy hobbies zenu wote.
Mume / mke as kuwa na heshima na kutokuvunjiana heshima yaani kumpa kila mtu nafasi yake.., kuna mambo unaweza kumfanyia rafiki yako lakini kamwe sio mume/wife.., as there are things you share which only a wife/mume can do
unafanya nini na unaishije na mtu mnaekutana ambaye si ndugu yako wala sio mpenzi? kama ambavyo una interact na ur best friends the same uinteract na ur boyfriend/galfrnd au wife/husband, kama ambavyo hupendi kuwapoteza marafiki zako ktk maisha ndivyo hvo hvo ufikirie kuhandle uliyenae the same way
muda wa kuwa rafiki ni kipindi kile mnafukuziana.....mfanye awe rafiki then awe mwenza.....
Kaunga,Mrembo na Marry ( namwongezea na Lizzy nimemsoma hapa chini),jamani Mwanajamii huko mnakompeleka siko,mme ni kichwa cha nyumba,lazima asikilizwe,aenziwe ndo nyumba itakuwa nyumba.Msitake kuleta mambo ya familia ya kambare hapa ambapo kila mtu ana sharubu.
Mrembo By Nature, aksante sana. Kusema ukweli umeandika kitu ambacho inatakiwa kiwe for real hata hivyo bahati mbaya wengi wetu tumekuwa na kujisahau sana na ndio maana tunasikia kauli za ...umebadilika sana baada ya kukuoa/kunioa, hunijali tena, hunithamini e.tc e.t.c ..........nadhani kuna ile ya kisichoko machoni, kina thamani zaidi.
Nafikiri zile vows, wedding bonds zinatufanya tuishi ile ya .......ni jukumu lako pia kuhakikisha hunipotezi. So ule uwoga wa nitampoteza, nawezampoteza unakuwa haupo.......no?
unaleta udot com eh?si ndo hizo ndoa fasta wiki vimebaranguka?
Mbona mie na nanii bado tupo? Alafu kakujibu kule. . .haachwi mtu.
Mie nna neno la zaidi ya rafiki, 'mshkaji'. Mwenza anapaswa kuwa mshkaji wako. Its easy, akifanya jambi jiulize angefanya hivi babu dark city ningenuna? Ningesusa? Don't fuss around, jali feelings zake (mfano hata kama umekasirishwa kazini, would u take it out on king'asti?)
Many times tunajikuta tunawajali marafiki kuliko hata wenza wetu. Kuliko kutumia wakati wako na wengineo wasio-matter, why not kwa partner wako? (Muambie soulmate wako nae aache ushamba, viatu raha yake kuvuana banaa! Kuna zile evening dresses ukiinama kufungua viatu litapasuka kama pazia la hekaluni,lol)
Asprin bana!Hahahaha MwanajamiiOne, Kongosho, King'asti, Lizzy, Smile, Kipipi, Kaunga na wajukuu zangu wote bila kumsahau mzee mwenzangu Bishanga..... Babu yangu Mtuweta (RIP) aliwahi nambiaga hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuoana na rafiki yako. Na ili ujue na ujihakikishie kuwa uliyemuoa ni rafiki yako ni pale unapothubutu kuachia kaushuzi mbele yake bila woga.... Hata kama kaushuzi kenyewe kanaambatana ile harufu ya matokeo ya kufakamia mayai ya kuchemsha na maharage.......
Samahani kama nimewakwaza lakini habari ndio hiyo.
Mungu aendelee kumlaza genius Mtuweta mahali pema peponi. Amen
Konnie,naomba tuwe marafiki pliiiz.Si kila mara mpenzi anaweza kuwa rafiki maana urafiki huja tu, haupangwi sana kama mapenzi ambayo Bishanga kila siku ananiomba tena kwa barua via Asprin.
Kama ukiwa na mpenzi ambaye mnafanana kwa vitu fulani mnajikuta mnakuwa marafiki.
Ndio maana unaweza kuta mtu ana mpenzi wake lakini kuna vitu hawezi ongea naye anatafuta mtu wa prmbeni wa kumweleza iwe ushauri au tatizo au umbea wa kawaida, hapo kuwa mahusiano ya kimapenzi tu bila urafiki.
Na unakuwa wapenzi wanaelezana vitu vingi freely bila wasi wasi(Ila sio mipango ya kando), hapa kunakuwa na mapenzi na urafiki pia. Na kwa kuongeza hata kama mmoja anamwamkia mwenzie, kumvua viatu, kumletea maji ya kunywa, bado urafiki waweza kuwepo na mkafurahia mapenzi yenu kama njiwa wawili.
Ntarudi kesho leo nimechoka sana.