jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,323
- Thread starter
- #41
Nimesoma maelezo ya Candid Scope inaonyesha mkuu wangu jogi umejaribu kuupotosha Umma hapa. Mbunge wa Wami alilitaka bunge lijadili swala la ajali na Makinda ndiye aliyekataa kujadili swala hilo na sii kwamba Hamad Rashid alitaka bunge liahirishwe..
Kwa hiyo ulituchanganya wengi kiasi kwamba nikaziweka lawama zangu kwa wabunge wa upinzani kumbe kilichotokea ni kinyume...
mkuu Mkandara, nitawaomba radhi wana jf ikiwa unaweza kutuwekea chanzo cha habari kisiwe Candid Scope kuthibisha tuhuma zako dhidi yangu,
Nasisitiza Makinda anachezeshwa muziki wa Tundu lissu juu ya udhaifu wa muungano wetu.
Last edited by a moderator: