- Thread starter
- #21
Na ulivyong'aaaaaa hapo kwa avatar wow...baki hivyohivyo
Hahahahaha Fenty by Rihanna hajaacha mtu mpaka weusi wangala wanapata foundations
Na ulivyong'aaaaaa hapo kwa avatar wow...baki hivyohivyo
😂😂😂😂😂😂acha hizo dyadyaa nifundishe mimiNa ulivyong'aaaaaa hapo kwa avatar wow...baki hivyohivyo
Kwa wale wenzangu wanaopenda make up tuongelee products ambazo unatumia,tips na routines.
Ni product gani ambayo unapenda sana kuliko zote mfano me napenda bronzer View attachment 1141333View attachment 1141334.
Sijajaribu mwenyewe ila nimeona reviews youtube nyingi tu View attachment 1141413. Nikienda sephora ntajaribu mimi alafu nakuja kukupa majibu
Mbabu kwan unanijua🙄..ebu niache
Ulivyo muongo mbibi...
Where do you get your stuff? From Ulta Beauty or Sephora?
Au hizo hazipo hapo ulipo?
Haipumui,.sasa ndio siku nzima isipumue...???Ukiwa umepaka mchana huwa inapumuaje?
Mwambie R akakufanyie shopping ya meikap kwanza...lol😂😂😂😂😂😂😂😂acha hizo dyadyaa nifundishe mimi
Yaaniii hata uwe kama lami...hahahHahahahaha Fenty by Rihanna hajaacha mtu mpaka weusi wangala wanapata foundations
Mbabu kwan unanijua..ebu niache
Mie make up zomenipita kushoto.
Kuna sijui ni foundation niliikuta kwenye gari ya shemejiyo nikajikandika usoni
Nimetoka chunusi sitamaniki wallah
Kuna sijui ni foundation niliikuta kwenye gari ya shemejiyo nikajikandika usoni
Nimetoka chunusi sitamaniki wallah
Itakua imeharibika
Pole sana.
Daaah
Hapa nawaza cha kupaka uso ukae sawa
Sipati majibu
Ninatumia MAC, kwa muda mrefu nilitumia fashion fair lakini nilisafiri na huko nilikokuwa hawakuwa na fashion fair ilibidi ninunue MAC. Kwakweli sikurudia tena fashion fair.
Rafiki yangu anauza Mary Kay, niliijaribu ikareact na ngozi yangu.
Sephora sijawahi kuwasikia sikuhizi shopping yenyewe ninafanya ninapohitaji vitu. NitaitafutaMac naipenda sana powder yao ya Mineralize skinfinish ila now nimebadili natumia Sephora micro smooth powder.