Makeup lovers

mapipando

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,807
2,000
Mimi siku hizi nimekuwa situmii sana make-up nadhani kwa "necha ya kazi yangu" lakini nina products za black-opal kwa table yangu ya chumbani,.

Na huwa natumia kwa mitoko hasa ya jioni kama sherehe hivi,na huwa naitoa kwa kutumia mafuta halisi ya nazi kwa kutumia pamba laini....ni mwiko kwangu kulala na make-up...
Kumbe
 
mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,285
2,000
Kuongeza urembo
Mf rangi ya ngozi inatokea moja
Na kuweka manjonjoo
Wanja
Lipstick,masacra etc
I naturally dont trust a woman with make up. Huwa najiuliza "wat else is she hiding?"
Hypocrisy ni tabia, huwa naamini hii tabia ina uhusiano na "the love of make up".
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
8,848
2,000
I naturally dont trust a woman with make up. Huwa najiuliza "wat else is she hiding?"
Hypocrisy ni tabia, huwa naamini hii tabia ina uhusiano na "the love of make up".
Si kweli

Baadhi wana shida za ngozi mf madoa,ngozi haifanani nk
Si kwamba wanapenda sana kupaka
Inabidi wajistiri

Baadhi wanapenda kuongezea urembo nk

Hypocrisy ni unafki..kupaka vipodozi ni unafki?.
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,761
2,000
I naturally dont trust a woman with make up. Huwa najiuliza "wat else is she hiding?"
Hypocrisy ni tabia, huwa naamini hii tabia ina uhusiano na "the love of make up".
Huo ni uongo.

Mimi napenda makeup kama art zile process Za ku blend ,contour and highlight zinaniburusha

Sina cha kuficha na naweza kusema natural am very beautiful and I love my flaws
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom