Makeup lovers

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
22,675
2,000
Duh, na mafuta yangu ya mgando haya.
Sijui hata kimoja,, natamani kujifunza
Ngoja niendelee kusoma comments
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
8,790
2,000
Kwa wale wenzangu wanaopenda make up tuongelee products ambazo unatumia,tips na routines.

Ni product gani ambayo unapenda sana kuliko zote mfano me napenda bronzer View attachment 1141333 View attachment 1141334 .
Hongereni kwa kweli warembo..muda kupaka vitu vingi kila siku asbh naona kashersheeee

Daily I am very basic with js wanja,mascara na lipstick/gloss

Full make up mnapata wapi mda warembo?.labda siku za sherehe ndo i take time ama naenda saluni for a quick do

Natumia Sleek
Powder na foundation
Mascara:3d fantastic lash

Na lipstick flormar ama sleek pia
Napenda powder,wanja,lipstick na mascara the most
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,761
2,000
Hongereni kwa kweli warembo..muda kupaka vitu vingi kila siku asbh naona kashersheeee

Daily I am very basic with js wanja,mascara na lipstick/gloss

Full make up mnapata wapi mda warembo?.labda siku za sherehe ndo i take time ama naenda saluni for a quick do

Natumia Sleek
Powder na foundation
Mascara:3d fantastic lash

Na lipstick flormar ama sleek pia
Napenda powder,wanja,lipstick na mascara the most
Me sipaki makeup kila asubuhi labda niwe na safari asubuhi.

Sana napaka makeup weekend na full face natumia 30 minutes tu simple look ila sipaki eyeshadow hadi niende kwenye sherehe
 
LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
8,790
2,000
Me sipaki makeup kila asubuhi labda niwe na safari asubuhi.

Sana napaka makeup weekend na full face natumia 30 minutes tu simple look ila sipaki eyeshadow hadi niende kwenye sherehe
Hapo sawaa..very nice

Eye shadow for me bado mtihanii kbs
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom