Obe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2007
- 9,982
- 34,476
Hahahaha, ndio uniambie sasa namiss nn hapo ulipo muda huu
...ttushafungulia sasa, naruhusiwa kuandika chochote.
Nikupe ushauri rahisi tu, huyu aunt yangu asikwambie kitu wewe cha kufanya mpigie selfie na umwambie kuwa kwa picha yake tu umemwagia wazungu.
Ushauri huu ni nadra sana kuupata toka kwa mtu msiyeheshimiana