Makapuku Forum

...ttushafungulia sasa, naruhusiwa kuandika chochote.
Nikupe ushauri rahisi tu, huyu aunt yangu asikwambie kitu wewe cha kufanya mpigie selfie na umwambie kuwa kwa picha yake tu umemwagia wazungu.
Ushauri huu ni nadra sana kuupata toka kwa mtu msiyeheshimiana
Hahahaha, asee kwann umesema hivi Mkuu
 
sijaweka muziki kitambo, na mnajua sababu ndugu yenu bando lilikuwa halisomi kiusahihi na hata likisoma basi ni kam umbali wa pua na macho

Kafariki, wapenzi wa gitaa na rhumba za Kilingala tulimjua kaka mzee Baba/Papa na kafariki mapema tu mwezi huu akijiandaa kuja bongoland kufanya muziki na mkongwe Tshimanga Assosa (huyu kama unakumbuka enzi za Ngalula na Marquiz ile yenyewe ile ya wana sendema) kama humjui basi utalijua gita lake

Burudika, haikatazwi

Hahahaha, asee kwann umesema hivi Mkuu

...ha hahaha, unadhani hata najua nilichoandika hapo before, wewe fuata ushauri sema tu imebidi nifanye maamuzi magumu maana kuongea na kuandika nilichoandika kwenye mwezi na mvua hizi basi ni kujitoa hasa
 
Ha ha ha ha binamu,hizo pesa zitatosha kweli??maana ahadi zinazidi kumiminika tu

.....yaani hapa binamu kitakachokuwa hakitoshi labda ni muda tu, fikiria nilipwe hela hizo unazozijua (nilileta risiti humu/stakabadhi ghalani).

Ahadi nazimimina tu maana nikilipwa hizi hela na msimu wa pamba umeanza, nitakuwa kama donor wa Senegal (huwa unaangalia Mizengwe ha hahahahah)

Nitamgawia kila niliyemuahidi na zaidi kila mmoja atakuwa na uwezo wa kutembelea flyover furee kufidia ucheleweshaji wangu wa kukamilisha ahadi
 
...ttushafungulia sasa, naruhusiwa kuandika chochote.
Nikupe ushauri rahisi tu, huyu aunt yangu asikwambie kitu wewe cha kufanya mpigie selfie na umwambie kuwa kwa picha yake tu umemwagia wazungu.
Ushauri huu ni nadra sana kuupata toka kwa mtu msiyeheshimiana
Hahhahhaha binamu mdanganye huyo mzee
 
.....yaani hapa binamu kitakachokuwa hakitoshi labda ni muda tu, fikiria nilipwe hela hizo unazozijua (nilileta risiti humu/stakabadhi ghalani).

Ahadi nazimimina tu maana nikilipwa hizi hela na msimu wa pamba umeanza, nitakuwa kama donor wa Senegal (huwa unaangalia Mizengwe ha hahahahah)

Nitamgawia kila niliyemuahidi na zaidi kila mmoja atakuwa na uwezo wa kutembelea flyover furee kufidia ucheleweshaji wangu wa kukamilisha ahadi
Hahaha binamu na kwenye pamba pia upo??hizo fursana tutaoga zingine sasa,maana sio kwa mkwanja huo utakao ingiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom