Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,538
1935 - Caroline Mikkelsen anakuwa Mwanamke wa kwanza kukanyaga Antarctica.
Hilo bara limefunikwa na barafu
.....
1935 - Caroline Mikkelsen anakuwa Mwanamke wa kwanza kukanyaga Antarctica.
1901 - Mohammed Naguib anazaliwa.
Alikuwa ni Jenerali wa Jeshi pia Rais wa Kwanza wa Misri.
1923 - Forbes Burnham anazaliwa.
Rais wa pili wa Guyana. Pia alikuwa ni mwanazuoni mahiri wa Nchi hiyo.
1949 - Ivana Trump anazaliwa.
Ni mwanamitindo mwenye asili ya Czech na Marekani.
Alikuwa ni mke wa kwanza wa Rais wa sasa wa Marekani , Donald Trump.
1951 - Gordon Brown anazaliwa.
Ni Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza.
1971 - Jari Litmanen anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Ajax na timu ya taifa ya Finland.
Alitwaa klabu bingwa ulaya akiwa Ajax mwaka 1995 chini ya kocha Luis Van Gaal
Blackburn Rover's 1-2 Manchester united.
1923 - Forbes Burnham anazaliwa.
Rais wa pili wa Guyana. Pia alikuwa ni mwanazuoni mahiri wa Nchi hiyo.
Halaf trump ana nyota na wanamitindo, huyu wa sasa ni mke wa pili.1949 - Ivana Trump anazaliwa.
Ni mwanamitindo mwenye asili ya Czech na Marekani.
Alikuwa ni mke wa kwanza wa Rais wa sasa wa Marekani , Donald Trump.
trump alikua hb alivyokua kijana
Sababu ya kuachana kwao?
....
Shemela shululu inakuhusu hii
Yap, alikipiga japo sio kwa mafanikio sana.
Km sijakosea kawahi kukipiga Anfield
...
Asante mkuu kwa nyongeza.Mwaka 2013 serikali ya Afrika Kusini ilimtunuku nishani ya juu kabisa inayoitwa Oliver Tambo Award. Tuzo hii ilipokelewa na mwanaye Roxane Van West Charles.
Burnham anatuhumiwa kukaa kimya au kuwa sehemu ya mauaji ya mwanataaluma nguli duniani hususani masuala ya Utumwa, Uhuru na Maendeleo, Dr Walter Rodney. Dr Rodney alifundisha UDSM