Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
pole shemelaHapana shemela, nipo busy sana aisee
pole shemelaHapana shemela, nipo busy sana aisee
sawa shemelaLeo nimesoma magazeti ya juzi jana na leo
Mkuu sorry yalichelewa kunifikia ila kila kitu kiko poaLee leo hakuna magazeti?
Asante mkuuu ....LEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, muwe na siku njema.
LEO KATIKA HISTORIA:
1933 - Adolf Hitler anafanya kikao cha siri na wamiliki wa viwanda vikubwa nchini Ujerumani ili kuwashawishi wamuunge mkono katika uchaguzi mkuu wa Ujerumani.
Moja ya ajenda ya kikao hiko ilikuwa ni kuwaomba wamdhamini pesa ya kampeni.