Makapuku Forum

Hata mimi nilisota sana humu, kama miaka miwili hivi ya mwanzoni, nilikuwa kapuku kweli kweli, naweza kuanzisha sredi ya maana isichangiwe kabisa.
Akiikopi mwenzio akaipost vile vile watu wanachangia kibao.

Kilichoniokoa nilikuwa nashinda sana jukwaa la ujasiriamali enzi hizo, hali ilikuja kugeuka polepole sana mkuu.

Ila wakongwe wa kuanzia miaka ya 2006 mpaka 2010, wengi wabaguzi sana.

tatizo hawasomi alama za nyakati, hawajui kila kukicha mambo yanabadilika kulingana na mahitaji ya watu ....
 
nitafurahi sana hii nguvu kazi ya vijana wa JF mnaojiita makupuku,mje kuongeza nguvu ktk majukwaa ya kenya forums ili watanzania tuzidi kuwatoa kamasi wakenya ktk mijadala mbalimbali.
tatizo lenu wengi wenu huwa mnashinda MMU kutufuta kick kwa mademu.
hamuwezi kushiriki ktk mijadala mizito ambayo inahitaji kichwa smart kujenga na kupangua hoja.

CC Kimweri Geza Ulole MK254 MOTOCHINI et al
Mjadala kama upi sasa mkuu..Huku ndiyo sehemu pekee ya kupunguzia stress na hakika najuta kuchelewa kupafahamu huku..Ila kama una mada yeyote weka mezani vile vile..
 
tatizo hawasomi alama za nyakati, hawajui kila kukicha mambo yanabadilika kulingana na mahitaji ya watu ....
cc463b4c2ef11b1f4e502bce39c93f04.jpg
46753d1d08d51442413dd6bf9cecb8d6.jpg


..............
 
With all due respect Mr. Please for the love of God and for the love of the earth....usimuite jimena ndege, please please.

Address her kama Duchess of JF, ukishindwa hivyo muite Sunrise. Please.

Her beauty is incomparable!!!
Safi kabisa unaelekea pazuri sasa kwa majina hayo lazima Jimena atabasamu kidogo na moyo utafunguka tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom