Wasomi wengine mna tatizo hili. Mtu anataka kuanzisha biashara basi business plan, mara sijui nadharia gani ya kiuchumi inasema hivi ali mradi ni analysis after analysis. Mkinga Shedede yeye akiamua ameamua na kesho na keshokutwa unamkuta kafikisha maduka saba msomi huku bado anafanya uchambuzi wa kibiashara...