Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,254
Niko poa, vip upande wako, natumai mu wazimaMorming mme mweee ...hope uko poaa
Pamoja sana mkuu musoliniAsante sana mkuu
Hongera zao1953 - Edmund Hillary na Sherpa Tenzing wanakuwa watu wa kwanza kugika katika kilele cha Mlima Everest.
RIP mashabiki wa soka1985 - Heysel Stadium disaster: Mashabiki 39 wanafariki wakati wengine 600 wanajeruhiwa baada ya Ukuta kudondoka katika mechi ya Fainali ya ulaya kati ya Juventus na Liverpool.
HBD John F Kennedy1917 - John F. Kennedy anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 35 wa Marekani, aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 1963.
Bhinamu naona umeizoeeaa simatiiifoniiii kiukwelii tachiii haikusumbui...
Uwe na siku njema
Shukran Shululu ....Juma tatu njema kwako piAView attachment 515890Kutoka magazetini kwa leo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono bitoz kuwa wa kwanza kufikisha likes 100
Jumatatu njema makapuku wote
Wajina wako anusurika1931 - Michele Schirru anauwawa na Kikosi cha Jeshi la Italy ni baada ya jaribio lake la Kumuua Benito Mussolini kushindikana.
Hbd kwake Nguli1977 - Massimo Ambrosini anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italy.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha dhahabu cha Ac Milan kilichotikisa Ulaya kando ya Pirlo, Gattuso, Kaka na wengineo.
Baada ya kustaafu kwa Paolo Maldni, Ambrosini aliteuliwa kuwa nahodha mpya wa kikosi hiko.
Ametwaa klabu bingwa ulaya mara mbili akiwa na Ac Milan.
R.I.p mc2013 - Albert Mangwea anafariki Dunia.
Mmoja ya wanamuziki waliokuwa na vipaji vya hali ya juu kuwahi kutokea katika Bongo fleva.
Tarehe ya kifo chake inachanganya, kuna wanaosema 28 na kuna wanaosema 29.
Pengo aliloacha hakika bado halijazibwa mpaka leo.
AhsanteLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Leo Katika Historia:
1900 - Mji wa N'Djamena waanzishwa.
Ni mji mkuu wa Chad.