Makapuku Forum

Asante kwa nyongeza Mkuu
 
Hapa Sizonje kazingua
Kicheo
Akitoka IGP ni DIGP zen CP (Sirro)
Jamaa ni km kumteua Major General wa JW kuwa Jenerali ni kama kuwadharau Maluteni Jenerali wote
.
.
Madhara yake ni kuibuka kwa mgawanyiko majeshini
Subiri tutaona
.........
Sirro anaonekana loyal kwa Sizonje.
Ni rahisi kumkontroo kwa rimoti.
Halafu pia ni mtu wa Kanda ya ziwa.

Wakati Naibu - IGP bwana Kaniki ni mtu wa kimya kama Mangu.

Namuona Mangu akienda kuwa Mkuu wa Mkoa.
 
Well said.
 
Sirro anaonekana loyal kwa Sizonje.
Ni rahisi kumkontroo kwa rimoti.
Halafu pia ni mtu wa Kanda ya ziwa.

Wakati Naibu - IGP bwana Kaniki ni mtu wa kimya kama Mangu.

Namuona Mangu akienda kuwa Mkuu wa Mkoa.
Mungu naye asikubali kujidhalilisha
Si aachane tu na serikali moja kwa moja
Waafrika matumbo mbele
......
 
Niliwahi kuuliza hapa, nikaishia kujibiwa kwa dharau
Yu wapi IGP Mangu?
Ndo JF hii
Kuna wakongwe kibao kuandika thread za pumba ila hujibiwa kwa heshima na kusifiwa
Asiye maarufu anaweza kuandika thread ya maana anaonekana kituko tu

Angekuwa aliandika fulani hii leo baada ya IGP kupigwa chini angepambwa sana eti ni bonge la Great Thinker

......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…