Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Watu wa "Labda ile" wanazidi kurundikana huko kwenye uongozi majeshini na serikalini
Mwisho wa siku atakuwa na jeshi rahisi kuja kupinduliwa
Km vuguvugu likianza
......

Yupo leo nimeshinda nae msibani kawamis![]()
![]()
nmemic kweli mke mweee,Mungu aendelee kumtia nguvu
KwemaaaHabari za wakati huu
Ngojaa tuwaachiee wafanye yaoWatu wa "Labda ile" wanazidi kurundikana huko kwenye uongozi majeshini na serikalini
Mwisho wa siku atakuwa na jeshi rahisi kuja kupinduliwa
Km vuguvugu likianza
![]()
![]()
![]()
......
Aisee1. Manchester United Vs Liverpool ( North West Derby )
Katika soka la Kiingereza hakuna mechi maarufu zaidi ya hii, chanzo cha upinzani huu ulikuwa ni mgogoro wa kiuchumi kati ya Majiji hayo mawili kuhusiana na Bandari.
Hii ndio mechi ambayo hufatiliwa zaidi kuliko mechi yoyote ile. Pia upinzani ukahamia kwenye mataji ambapo Liverpool ilikuwa na mataji 18 ya ligi huku United ikiwa na 7 tu.
lakini kwa sasa united ina mataji 20 huku Liverpool ikibaki na yaleyale 18.
Mechi baina ya timu hizi hupigwa mapema sana wakati wa chakula cha mchana kwa majira ya Uingereza ili kuepusha ulevi na vurugu kwa mashabiki.
Pia Wachezaji wa timu hizi huwa hawabadilishani Jezi baada ya mechi hii kuisha. Hakuna mchezaji aliyehama Moja kwa moja kutoka Liverpool kwenda United au United kwenda Liverpool kwa zaidi ya miaka 50 sasa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Njema za kwenuHabari za wakati huu
Pia kiujumla Liverpool kubeba mataji 411. Manchester United Vs Liverpool ( North West Derby )
Katika soka la Kiingereza hakuna mechi maarufu zaidi ya hii, chanzo cha upinzani huu ulikuwa ni mgogoro wa kiuchumi kati ya Majiji hayo mawili kuhusiana na Bandari.
Hii ndio mechi ambayo hufatiliwa zaidi kuliko mechi yoyote ile. Pia upinzani ukahamia kwenye mataji ambapo Liverpool ilikuwa na mataji 18 ya ligi huku United ikiwa na 7 tu.
lakini kwa sasa united ina mataji 20 huku Liverpool ikibaki na yaleyale 18.
Mechi baina ya timu hizi hupigwa mapema sana wakati wa chakula cha mchana kwa majira ya Uingereza ili kuepusha ulevi na vurugu kwa mashabiki.
Pia Wachezaji wa timu hizi huwa hawabadilishani Jezi baada ya mechi hii kuisha. Hakuna mchezaji aliyehama Moja kwa moja kutoka Liverpool kwenda United au United kwenda Liverpool kwa zaidi ya miaka 50 sasa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Daaaaah leo umeifanya siku iwe mukideeee wanasemaga bijana ...asante kiongoziiiiiAsanteni kwa Support yenu.
Mpaka hapo sina la Ziada, Tukutane wakati mwingine.
Chaoooo!!!!
Mi mzima umewatumia pichaSafi mndali
Pamoja mkuuAsanteni kwa Support yenu.
Mpaka hapo sina la Ziada, Tukutane wakati mwingine.
Chaoooo!!!!
NzuriNjema za kwenu
Sijapata majina yao badoMi mzima umewatumia picha
Umetisha kama reuzi za Ngosha na watu wakeAsanteni kwa Support yenu.
Mpaka hapo sina la Ziada, Tukutane wakati mwingine.
Chaoooo!!!!
SalamaKwemaaa
Asante musolini kwa historia ya watani wa jadiAsanteni kwa Support yenu.
Mpaka hapo sina la Ziada, Tukutane wakati mwingine.
Chaoooo!!!!
Njema sana mkuuHabari za wakati huu
Msalmie mwambie tunampenda na tumemmic mnoYupo leo nimeshinda nae msibani kawamis
Tempa huwa juu sanaAisee hizi mechi za watani huwa shida