Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii derby ina history ndefu make toka enzi zile za vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo (uingeleza )

Ikumbukwe sunderland kipindi cha hiyo civil war alijoin parliamentary rebellion wakati hao wapinzani wao wakiwa upande wa pili

Sio hilo tu King Charles 1 alivyohusika sana akiwa upande wa newcasstle ...

Ata baada ya vita kuisha mambo yaliendelea ndivyo sivyo mpaka kwenye soka waleoo

Kinachonifurahisha kwenye battle zao wana statistucs sawa ....

Asante dikteta
Asante kwa nyongeza Mkuu
 
Hapa Sizonje kazingua
Kicheo
Akitoka IGP ni DIGP zen CP (Sirro)
Jamaa ni km kumteua Major General wa JW kuwa Jenerali ni kama kuwadharau Maluteni Jenerali wote
.
.
Madhara yake ni kuibuka kwa mgawanyiko majeshini
Subiri tutaona
.........
Sirro anaonekana loyal kwa Sizonje.
Ni rahisi kumkontroo kwa rimoti.
Halafu pia ni mtu wa Kanda ya ziwa.

Wakati Naibu - IGP bwana Kaniki ni mtu wa kimya kama Mangu.

Namuona Mangu akienda kuwa Mkuu wa Mkoa.
 
Moja ya derby ambayo siku hizi inapoteza mvuto kiukweliii sijui labda kwa sababu siku hizi mambo ya mpira pesa inasumbua ila yote sawa kipindi kile ilikuwa tamu aiiseeeh ukifatiliaa

Kipindi cha 1894 ambao huu mwaka hawa sunderland walioshuka daraja na moyes wao ndo walinyakuwa makwapa kwa kubeba ndoo huku derby ya kwanza liverpool anakula bao 3 nunge ....daaaaah bwanaabwaaanaa ukifatiliaa japo ilikuwa black and white na mijeziii mikubwa watu walikuwa wanajituma
Licha ya kuwa Neville ndo anarekodii nzuri ya kicheza derby hii mara nyingi ila huwez kuwaacha hawa watu...

e8588b63fb81e8fa95768578fb474bb6.jpg




Hizo pipooo zilikuwa hatariii..apa tunamzungumzia tom wyllie,John Heydn,kevin shedy peter Beardsley na wengineo kibao
Well said.
 
Sirro anaonekana loyal kwa Sizonje.
Ni rahisi kumkontroo kwa rimoti.
Halafu pia ni mtu wa Kanda ya ziwa.

Wakati Naibu - IGP bwana Kaniki ni mtu wa kimya kama Mangu.

Namuona Mangu akienda kuwa Mkuu wa Mkoa.
bd88eceae28e3817acb528426f47f4f6.jpg
Mungu naye asikubali kujidhalilisha
Si aachane tu na serikali moja kwa moja
Waafrika matumbo mbele
......
 
Niliwahi kuuliza hapa, nikaishia kujibiwa kwa dharau
Yu wapi IGP Mangu?
Ndo JF hii
Kuna wakongwe kibao kuandika thread za pumba ila hujibiwa kwa heshima na kusifiwa
Asiye maarufu anaweza kuandika thread ya maana anaonekana kituko tu

Angekuwa aliandika fulani hii leo baada ya IGP kupigwa chini angepambwa sana eti ni bonge la Great Thinker

......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom