Makapuku Forum

Makapuku Forum

3. Man Utd Vs Man City ( Manchester Derby )

Mechi hii inawakutanisha mahasimu wawili wa jijini Manchester ambapo walikutana kwa mara ya kwanza 1881.
Manchester United ndio ambao wana mafanikio zaidi dhidi ya City.
Upinzani wa mechi hii ulikuja kushika kasi mara baada ya Tajiri wa kiarabu Sheikh Mansour kuinunua timu hiyo mwaka 2008 na kuanza kuleta upinzani.

700567-21454302-1600-900.jpg

7779403_orig.jpg

1412715443-500.jpg
FERDY-COIN.jpg

manchester-city-vs-manchester-united-ay_99489746.jpg
 
Zinapo kutana hizi timu huwa wanakamiana sana
 
Ngoja nione no 1,nilijua Kati cit na United au arsenal na Tottenham watachuana kwenye no 1
 
2. Arsenal Vs Tottenham Hotspur ( North London Derby )

Wapinzani wa Kaskazini ya London, ni moja kati ya mechi zenye mvuto zaidi katika ligi ya EPL. Japokuwa Arsenal ndio huwa anatawala kwa kushinda katika mechi hii ila miaka ya karibuni hali imebadilika Spurs nao wamekuwa moto wa kuotea mbali.

Mechi hii huwa haina uhasama mkubwa wa mashabiki ukilinganisha na mechi nyingine. Ila mwaka 2002, Nahodha Sol Campbell alipohama kutoka Spurs kwenda Arsenal alileta dhahama kubwa kiasi cha kuitwa Yuda na mashabiki wa Spurs.
3759573975.jpg

nintchdbpict000280413503.jpg

i

maxresdefault.jpg
 
Moja ya derby ambayo siku hizi inapoteza mvuto kiukweliii sijui labda kwa sababu siku hizi mambo ya mpira pesa inasumbua ila yote sawa kipindi kile ilikuwa tamu aiiseeeh ukifatiliaa

Kipindi cha 1894 ambao huu mwaka hawa sunderland walioshuka daraja na moyes wao ndo walinyakuwa makwapa kwa kubeba ndoo huku derby ya kwanza liverpool anakula bao 3 nunge ....daaaaah bwanaabwaaanaa ukifatiliaa japo ilikuwa black and white na mijeziii mikubwa watu walikuwa wanajituma
Licha ya kuwa Neville ndo anarekodii nzuri ya kicheza derby hii mara nyingi ila huwez kuwaacha hawa watu...

e8588b63fb81e8fa95768578fb474bb6.jpg

Hizo pipooo zilikuwa hatariii..apa tunamzungumzia tom wyllie,John Heydn,kevin shedy peter Beardsley na wengineo kibao

4. Liverpool Vs Everton ( Merseyside Derby Au Friendly Derby )

Ni mechi ya majirani wawili wanaotenganishwa na barabara tu, Liverpool ilizaliwa ubavuni mwa Everton. Ni mechi inayoongoza kwa kuzalisha kadi nyekundu zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza. Jumla ya kadi nyekundu 21 zimetoka katika mechi hii, kudhihirisha uhasama wa wachezaji ndani ya uwanja.
i

article-2511699-043C3B570000044D-672_634x337.jpg

1423336746137_lc_galleryImage_Liverpool_s_Jordan_Hender.JPG

055BEE150000044D-0-08or9_09_2006-a-36_1423228943974.jpg

liverpool-everton.jpg

article-0-0E2DAF5500000578-481_468x391.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom