Makapuku Forum

Makapuku Forum

5. Newcastle United Vs Sunderland ( Tyne Wear Derby )

Mechi hii huzikutanisha timu za Kaskazini Mashariki mwa Uingereza. Walikutana kwa mara ya kwanza mwaka 1883. Ni moja kati ya mechi zinazoongoza kwa uhasama ndani na nje ya uwanja.
article-2308074-194935E2000005DC-929_634x446.jpg

9731914b1ef560cb9c643f612a83308b.jpg
 
4. Liverpool Vs Everton ( Merseyside Derby Au Friendly Derby )

Ni mechi ya majirani wawili wanaotenganishwa na barabara tu, Liverpool ilizaliwa ubavuni mwa Everton. Ni mechi inayoongoza kwa kuzalisha kadi nyekundu zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza. Jumla ya kadi nyekundu 21 zimetoka katika mechi hii, kudhihirisha uhasama wa wachezaji ndani ya uwanja.
i

article-2511699-043C3B570000044D-672_634x337.jpg

1423336746137_lc_galleryImage_Liverpool_s_Jordan_Hender.JPG

055BEE150000044D-0-08or9_09_2006-a-36_1423228943974.jpg

liverpool-everton.jpg

article-0-0E2DAF5500000578-481_468x391.jpg
 
5. Newcastle United Vs Sunderland ( Tyne Wear Derby )

Mechi hii huzikutanisha timu za Kaskazini Mashariki mwa Uingereza. Walikutana kwa mara ya kwanza mwaka 1883. Ni moja kati ya mechi zinazoongoza kwa uhasama ndani na nje ya uwanja.
article-2308074-194935E2000005DC-929_634x446.jpg

9731914b1ef560cb9c643f612a83308b.jpg
Hii derby ina history ndefu make toka enzi zile za vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo (uingeleza )

Ikumbukwe sunderland kipindi cha hiyo civil war alijoin parliamentary rebellion wakati hao wapinzani wao wakiwa upande wa pili

Sio hilo tu King Charles 1 alivyohusika sana akiwa upande wa newcasstle ...

Ata baada ya vita kuisha mambo yaliendelea ndivyo sivyo mpaka kwenye soka waleoo

Kinachonifurahisha kwenye battle zao wana statistucs sawa ....

Asante dikteta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom