Hapa Sizonje kazingua
Zinapo kutana hizi timu huwa wanakamiana sana3. Man Utd Vs Man City ( Manchester Derby )
Mechi hii inawakutanisha mahasimu wawili wa jijini Manchester ambapo walikutana kwa mara ya kwanza 1881.
Manchester United ndio ambao wana mafanikio zaidi dhidi ya City.
Upinzani wa mechi hii ulikuja kushika kasi mara baada ya Tajiri wa kiarabu Sheikh Mansour kuinunua timu hiyo mwaka 2008 na kuanza kuleta upinzani.
Nimeweka pres releaseFafanuaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nmemic kweli mke mweee,Mungu aendelee kumtia nguvuWeee mke mweeeee(shunie voice)
Acha hizoo
Ngoja nione no 1,nilijua Kati cit na United au arsenal na Tottenham watachuana kwenye no 13. Man Utd Vs Man City ( Manchester Derby )
Mechi hii inawakutanisha mahasimu wawili wa jijini Manchester ambapo walikutana kwa mara ya kwanza 1881.
Manchester United ndio ambao wana mafanikio zaidi dhidi ya City.
Upinzani wa mechi hii ulikuja kushika kasi mara baada ya Tajiri wa kiarabu Sheikh Mansour kuinunua timu hiyo mwaka 2008 na kuanza kuleta upinzani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] upuuzi wa leeAkijuaaa ananipq talaka ....
Ila uzuri ulikuwa upuuzi wa lee
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ulivyomwambia shemeji yako Nyagei kuwa uongo kaanza lini
Nackia eti ni Big Brother hao ni washiriki wanaaga mashindano[emoji57] [emoji57]
[emoji120] [emoji120]Hongera
Habr yako mkuu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mm mwenyewe mmoja wao subiri cku tukiungana kukuchangia ndo utajuaJirani zako hao
Bahili kweli
Karibu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
4. Liverpool Vs Everton ( Merseyside Derby Au Friendly Derby )
Ni mechi ya majirani wawili wanaotenganishwa na barabara tu, Liverpool ilizaliwa ubavuni mwa Everton. Ni mechi inayoongoza kwa kuzalisha kadi nyekundu zaidi katika Ligi Kuu ya Uingereza. Jumla ya kadi nyekundu 21 zimetoka katika mechi hii, kudhihirisha uhasama wa wachezaji ndani ya uwanja.
Nimepokeaaa[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Safi mndaliHabr yako mkuu