shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Na JimenaMimi OT kama Bitoz, shunie na nyagei
Na JimenaMimi OT kama Bitoz, shunie na nyagei
Majungu sasa hayoHili kombe watacheza UEFA?
Naliona kama kombe la nzengo tu
Hili kombe watacheza UEFA?
Naliona kama kombe la nzengo tu
Hii scene ya Tom &jerry naipenda sana aisee
results??Sorry kwa mapicha picha yanayofata ...
![]()
Hey! Makapuku mbona mnalala? Au wikendi ilikuwa nzito? Basi changamsheni akili na hii
Enyoy!!!!
ZABURI 124Shukran mkuu twaisubiria kwa hamuWakuu, Shedede leo kapotelea wapi? Au kabanwa na mkewe hakuna kutoka leo? Couplez hizi ni pasua kichwa hapa Makapuku.
Anyway, nilikuwa nataka kutoa taarifa kuwa ile hadithi yake nimei-edit vizuri na iko tayari. Akirudi nadhani atairusha. Ni hadithi decent na Shedede ni mwandishi mzuri wa kiwango chake na akikazana na kufuata mawaidha na ushauri wangu wa kitaalamu atafika mbali.
Jana niliona watu wakinilaumu kuwa nawabania hadithi. Basi kazi yangu kama editor nimeshaimaliza na kuanzia sasa lawama zote zielekezwe kwa mwandishi (Shedede) mwenyewe!
Hapahapa makapukuItawekwa wapiii??
Hey! Makapuku mbona mnalala? Au wikendi ilikuwa nzito? Basi changamsheni akili na hii
Enyoy!!!!

AmeniZABURI 124
8.Msaada wetu u katika BWANA,Aliyezifanya mbingu na nchi.

Bhasiii twaingojeaaa yaaaeeèehHapahapa makapuku
Hii scene ya Tom &jerry naipenda sana aisee
Arseno 2 chelsea 1results??