Makapuku Forum

Ndo ivo
Wabongo bhana
Wengi wameamua kukaushia maana kumbuka humu hatulipwi halafu watu wanakushambulia
Bora usiandike tu
.......
 


Kuandika ni kipaji, na binafsi naamini hakuna ambacho hakijawahi kuandikwa. Na wengi huwa tunajaribu kuuhisha tu kilichokwisha kuwepo. (kama unapenda kujisomea vitabu na majrida utajua nasema nini)

Hilo Jukwaa nilipita na later nikaacha kuenda huko maana kila mmoja ana aina yake ya kuandika. Na kutafasiri kitu hakukufanyi wewe mfasiri kuwa orijinata wa wazo au chapisho na ndicho kinachoendelea kule.

But kwa maneno ya Biko, I write what I like' Naandika ninachojisikia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…