Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 27, 2017 #198,141 lee empire said: Morning Click to expand... Habari ya kuamka Mr Lee
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 27, 2017 #198,142 Mussolin5 said: Shukrani kwa magazeti mkuu. Click to expand... Pamoja sana kiongozi
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 27, 2017 #198,143 Mndali ndanyelakakomu said: Morning shemeji Click to expand... Morning, vip shemeji umeamkaje
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 27, 2017 #198,144 shululu said: View attachment 515094Mpaka hapo sina la ziada Tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Tumosa my swi, tunawatakieni jumamos njema Click to expand... Asante kwa magazeti shemeji
shululu said: View attachment 515094Mpaka hapo sina la ziada Tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Tumosa my swi, tunawatakieni jumamos njema Click to expand... Asante kwa magazeti shemeji
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 27, 2017 #198,145 shululu said: Morning, vip shemeji umeamkaje Click to expand... Mi niko poa shemeji habr za hapo kibaha
shululu said: Morning, vip shemeji umeamkaje Click to expand... Mi niko poa shemeji habr za hapo kibaha
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 27, 2017 #198,146 Mndali ndanyelakakomu said: Asante kwa magazeti shemeji Click to expand... Pamoja sana Mndali
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 27, 2017 #198,147 Mndali ndanyelakakomu said: Mi niko poa shemeji habr za hapo kibaha Click to expand... Vyema sana, kibaha hapa kwema kabisa
Mndali ndanyelakakomu said: Mi niko poa shemeji habr za hapo kibaha Click to expand... Vyema sana, kibaha hapa kwema kabisa
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,148 1937 - Daraja la Golden Gate Bridge lafunguliwa huko California nchini Marekani. Ni moja kati ya madaraja makubwa yanayopatikana nchini humo. Pia daraja hilo hutumika kama nembo ya timu ya mpira wa kikapu ya Golden state Warriors
1937 - Daraja la Golden Gate Bridge lafunguliwa huko California nchini Marekani. Ni moja kati ya madaraja makubwa yanayopatikana nchini humo. Pia daraja hilo hutumika kama nembo ya timu ya mpira wa kikapu ya Golden state Warriors
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,149 1941 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia: Meli ya kivita ya Ujerumani ya Bismarck yazama huko North Atlantic na kuua watu 2100.
1941 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia: Meli ya kivita ya Ujerumani ya Bismarck yazama huko North Atlantic na kuua watu 2100.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,150 1960 - Kunatokea Mapinduzi ya Kijeshi huko Uturuki na kuangusha utawala wa Rais Celal Bayar.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 May 27, 2017 #198,151 Ramadhan Kareem makapuku
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,152 1967 - Meli kubwa ya kubeba ndege vita ya Marekani yazinduliwa. Meli hiyo inayojulikana kama USS John Kennedy ilizinduliwa na aliyekuwa Mke wa Rais wa Kennsedy, Jacqueline Kennedy na mwanae Caroline Kennedy.
1967 - Meli kubwa ya kubeba ndege vita ya Marekani yazinduliwa. Meli hiyo inayojulikana kama USS John Kennedy ilizinduliwa na aliyekuwa Mke wa Rais wa Kennsedy, Jacqueline Kennedy na mwanae Caroline Kennedy.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 27, 2017 #198,153 shululu said: Pamoja sana Mndali Click to expand...
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 27, 2017 #198,154 shululu said: Vyema sana, kibaha hapa kwema kabisa Click to expand... Asante shemeji
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,155 2016 - Rais Barrack Obama wa Marekani anakuwa Rais wa kwanza wa Marekani kutembelea eneo la kumbukumbu la Hiroshima huko Japan ambalo liliathiriwa vibaya na mabomu ya nyuklia wakati wa Vita Kuu ya pili ya Dunia.
2016 - Rais Barrack Obama wa Marekani anakuwa Rais wa kwanza wa Marekani kutembelea eneo la kumbukumbu la Hiroshima huko Japan ambalo liliathiriwa vibaya na mabomu ya nyuklia wakati wa Vita Kuu ya pili ya Dunia.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,156 1923 - Mwanadiplomasia Henry Kissinger anazaliwa. Ni Mmarekani mwenye asili ya Ujerumani ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Anatajwa kama Waziri bora kuwahi kutokea katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani. Ndiye mtu aliykuwa nyuma ya kumalizika kwa vita ya vietnam na kumfanya apokee tuzo ya nishani ya Nobel.
1923 - Mwanadiplomasia Henry Kissinger anazaliwa. Ni Mmarekani mwenye asili ya Ujerumani ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Anatajwa kama Waziri bora kuwahi kutokea katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani. Ndiye mtu aliykuwa nyuma ya kumalizika kwa vita ya vietnam na kumfanya apokee tuzo ya nishani ya Nobel.
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 27, 2017 #198,157 Mussolin5 said: 1941 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia: Meli ya kivita ya Ujerumani ya Bismarck yazama huko North Atlantic na kuua watu 2100. Click to expand... Duh aisee, RIP wahaanga
Mussolin5 said: 1941 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia: Meli ya kivita ya Ujerumani ya Bismarck yazama huko North Atlantic na kuua watu 2100. Click to expand... Duh aisee, RIP wahaanga
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,158 1967 - Paul Gascoine ' Gazza ' anazaliwa. Kiungo wa zamani wa Spurs na timu ya taifa ya England. Alibarikiwa kuwa na kipaji cha hali ya juu, ila utovu wa nidhamu na ulevi uliopindukia uligharimu kipaji chake.
1967 - Paul Gascoine ' Gazza ' anazaliwa. Kiungo wa zamani wa Spurs na timu ya taifa ya England. Alibarikiwa kuwa na kipaji cha hali ya juu, ila utovu wa nidhamu na ulevi uliopindukia uligharimu kipaji chake.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,159 1985 - Roberto Soldado anazaliwa. Straika wa Villareal ambaye pia amewahi kucheza Spurs.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 27, 2017 #198,160 1987 - Gervinho anazaliwa. Mchezaji wa zamani wa Arsenal, As Roma na timu ya taifa ya Ivory Coast.