Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
MhKweli umehama![]()
![]()
![]()
![]()
shemela
MhKweli umehama![]()
![]()
![]()
![]()
Biashara ziko poaa ??Usiku mwema makapuku
we unakumbuka ulisema kazi unafanya kwa moyo wako wote hata usipolipwaUlikuwa hunipi hata dururu moja na nilivyoacha hukunipa hata kiinua mgongo......
Unasemaaaa??![]()
kuhama team ngumu sana kama kuhama dini tu
hapana aisee kwangu ngumu vyote labda ya team kidogo sanaKabila ndio gumu kuhama, vingine una hama tu
HujakoseaaKama dustbin
Husna kiboko, kusahau hayo manenowe unakumbuka ulisema kazi unafanya kwa moyo wako wote hata usipolipwa
Sijakuelewaaatumosa mke mwee huyu anaitwa Mr.Lee ni my mume
Nani tena yuko bar?Unekosea ...au uko bar
mh babyUnasemaaaa??
Hakuna namna bora nicheke tu...Unachekaa tuu

baby si nimemtambulisha weweSijakuelewaaa
Nilijua tu bitoz atatia timu muda si mrefu
ArsayNO mlikuwa mna matusi sana eti "wazee wa futuhi"![]()
Sasa mtakuwa peke yenu mnaangalia futuhi lenu
Na mtajua machubgu ya kutukanwa
Km sisi tulivyokuwa tunaumia
![]()
![]()
![]()
.
Ila game bado
.........
Mapenz yanatesaa![]()
![]()
huyo wake ni vale sijui walikoseana nini akaja kumuanzishia thread ya msamaha na mpk avatar akaweka ya vale
ArsayNO mlikuwa mna matusi sana eti "wazee wa futuhi"![]()
Sasa mtakuwa peke yenu mnaangalia futuhi lenu
Na mtajua machubgu ya kutukanwa
Km sisi tulivyokuwa tunaumia
![]()
![]()
![]()
.
Ila game bado
.........
cc.shululuHata Mimi nakuheshimu sana... Ndo maana sitaki umwache Shunie ili tuendelee Kuheshimiana.Rafik kipenz nakuheshimu ujuee ooohooooh
Rafiki kipenz mbona tunataka kuingiliana anga ...Nani anakuPM huyo Lee?
Ndozake huyo mmeo kazi kuhalibu ndoa za watuMh lakini shemela shululu alikua hana makoloni usimwalibie