Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
ukimaanishaLee huniamini kabisaaaaa..... Ila nakutahadharisha... Ukimwacha Shunie urafiki utakufa.
ukimaanishaLee huniamini kabisaaaaa..... Ila nakutahadharisha... Ukimwacha Shunie urafiki utakufa.
Nani anakuPM huyo Lee?Ni wewe kumbe ??
Dunia ina mambo kweliii
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Siwezi hata
Hii imekaa kinafikihongera baby kwa kuwa mabingwa wa epl [emoji122] shemela shululu kama nakuona unavyocheka
MhMmmh kwamba ulikuwa unamnyapia husna wangu
Experience na ulinzi haijaisha ujue.......ohooo
Nakumbuka aisee[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo wake ni vale sijui walikoseana nini akaja kumuanzishia thread ya msamaha na mpk avatar akaweka ya vale
Uko wapii kwanza ..unazidiwajee na shedede wakat last seen kwa husna ilikuwa kwakoo
Unaongea na naniUnekosea ...au uko bar
Yaan wewe dunia iache kama ilivo ...Mambo gan tenaa
NimeshatambulishaCc shunie shemela
Nashukuru kumfahamu mke mwee [emoji120] [emoji120]tumosa mke mwee huyu anaitwa Mr.Lee ni my mume
Najua tu zote ni trick niachane na husna wanguNa kesho anatakiwa kazini
[emoji120]Good obedient wife
[emoji125] [emoji125] [emoji125] yapi babybaby usitake kuongea mambo yako wanapendana sana
Nilijua tu [emoji2][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mmmh upo dada numbisaMarahabaa mjukuu wangu wa mwisho kati ya wajukuu saba [emoji2] [emoji2] [emoji126] [emoji126]
nafanyaje sasa mke mweePepelea ndoa mamii
Unachekaa tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nimeshatambulisha
Halina pingamiziiNa kesho anatakiwa kazini