Hawa umaarufu wao inatokana na pesa walizonazo.....hawajafikisha hata miaka 30 lakini wana mkwanja mrefu wa kuweza kuwahonga hadi Sizonje na Bashite
Wanatajwa kuwa wanawaje matajiri # 11 duniani
.
.
.
.
.
Ahsanteni kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho Mwisho
.............
Unaujua umbali kutoka Kyela mjini hadi Kyela border(Malawi)?
Kwa taarifa yako ni km kutoka Ubongo hadi Temeke tu tena hata huu umbali ni mrefu
Km kitu hujui uliza
Tena kwa basi nauli 1000/= tu
Au unadhani mpaka wa Tz na Malawi upo Moshi