Makapuku Forum

Snipes kweli huniamini au nimeachwa na wala pole sitaki si unajua mtu akikutafutia sabbu ndio kilichonikuta
pole hairudishi ulichopoteza wala haipoozi maumivu, just kuonesha kuguswa

huu ni upuuzi tu wa lee unaendalea ambao niliumiss japo watu wanasema hawaioni hiyo segment yake ya upuuzi 🙂🙂
wapuuz tunaelewana wenyewe 🙄
 
hakuna cha upuuzi wa lee wala nini nisikilize mimi ninachokwambia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…