ahaha inataka moyo sana ukipenda boga upende na ua lake ajue tu lugha ya mama mchuchu hakuna namna la sivyo binamu obe atajifunzaAje kumfundsha baby wake lugha ya kipendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120] [emoji120]Amen[emoji120]
[emoji120] [emoji120]Amen[emoji120]
Duh huu si uungwana atiiii[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ulipitwa, anasubiriwa mama mchungaji tu kubariki ombi la Nyagei
Anakusoma tu binamu Obeahaha inataka moyo sana ukipenda boga upende na ua lake ajue tu lugha ya mama mchuchu hakuna namna la sivyo binamu obe atajifunza
Binamu hata wewe umeshindwa kunitonya[emoji15] [emoji15]Nafatilia kwa ukaribu sana hili
Shunie unatakiwa uzowee maisha ya shamba.Nilikuwa kuwa porinii
Ila now niko shamba nalima mawese
Cuzoo wewe si mtu mzuriiii
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji134] [emoji134]
aisee kumbe hata wewe umegundua hilo, unajua huyu shemeji yako si wa spotiShangaa na wewe sasa
Wewe si rafiki wa kudumu aiseee[emoji121] [emoji121]
Hmm.... Shunie ameokoka!hahhahahh me nimeokoka mjue ila nawaona na mumeo kazi mnayoifanya
Cuzoo nimeanza kukosa imani na wewe[emoji23] [emoji23]Cuzoo
Marahaba Dear Shunie mzima mwanangu,pole na majukumu,mum here Loves you[emoji7] [emoji7]ubarikiwe[emoji120]tulikumiss pia mama yetu shikamoo mama mchuchu
[emoji2] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]
Umepatia kabisa[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji7] [emoji7]Tununu [emoji4]
Archdukembona unashangaa sana???
kwani ulikuwa hujui???
Mbona ugomvi tena husna..... Kumbuka usimtukane mkunga na uzangalipo. Ha ha ha ha.Lioneee[emoji35]
ya nje hayakupiti imekuaje humu ndani leo??hahaah amini tu kwa nini nisipitwe nyagei ebu akuje aniambie kwa marefu cuzoo wangu anamuwowa bila mimi kujua