Makapuku Forum

" Bwana yule "
 
2/The Pink Panthers Hili ni genge la kihalifu huko Serbia ambao Polisi Wa mKimataifa(interpol) wanaamini linahusika na wizi wa Vito vya madini vya thamani kubwa sehemu mbalimbali duniani kwenye matukio yaliyoweka historia
Kwa mfano mwaka 1993 waliiba dhahabu huko London yenye thamani ya Pauni 500,000
Ila eamefanya matukio mengi tu babu kubwa Hii ni muvi inayowaelezea japo inachekesha
.......
 
Si mchezo
 
Aje bongo nishilikiane naye aisee
 
Kuna watu wanajua kuiba aisee
 
Aisee
 
Sio kama huku bongo, mwizi akiwa anaiba polishi wanajua na mkwanja wanakula
 
Huu wizi ulitumia nafikiri dk26 kabla ofisi haijafunguliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…