Makapuku Forum

9/2010 Credit Lyonnais Paris Burglars Mwaka 2010 wezi waliotikuka walifanikiwa kuvunja na kuona kijanja katika Benki ya Mikopo ya Lyon iliyopo katikati ya jiji la Paris na kuiba viboksi vya kutunzia vito na pesa vyenye thamani ya mamilioni ya Euro pamoja na pesa taslimu.
Walifaniliwa kuingia kupitia mbinu za kijanja na kuvuruga mifump yotee ya ulinzi ma hivyo kuiba kiulaini bila kushtukiwa
Pia mwaka 2011 genge hilo lilifanya kufuru nyingine
Hadi sasa umekosekana ushahidi wa kiwezesha kuwashtaki
........
 
Tuko pamoja
 
Watu ni hatari
 
8/Carl Gugasian
Huyu ni kibaka maoni mwenye Shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania huko nchini Marekani ambaye akiamua kutumia usomi wake kufanikishia matukio ya kijambazi
Alipohitimu tu akaanza kuiba magari katika casino 8 tofauti na kuyatumia kwenye matukio yake ya kihalifu
Aliprmdelra zaidi kuiba kwenye mabemki na slifika dakika 5 kabla ya benki kufungwa na kutumia dk 3 tu kubeba mpunga na kusepa zake bila kukamatwa
.....
 
7/Paris Modern Art Museum Burglary Mwezi May 2010 mwezi alivunja Makumbusho ya Sana'a ya Paris na kuiba kazi za kisanii kama vile za Picasso and Matisse ambazo zilikuwa na thamani ya Euro milioni 100
Wizi huo ukaja kugundulika keshowe asubuhi muda wa saa 1 na kuaminika kwamba vitu vilivyoibiwa vinaerza kufika thamani ya Euro Milioni 430
Hadi kufikia mwaka 2012 hakukuwa na mtu yoyote aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo
.....
 
Huyu ndiye kibaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…