Binamu asanteMuziki: Maneno yakishindwa Weka Muziki
Habari za kutwa nzima ya leo Makapuku wenzangu. naamini kabisa tumekuwa na wakati mzuri jumatatu hii na sasa tunaenda kuikamilisha ili siku nyingine ianze. Ndiyo maisha, tunabadili tarehe tu na siku za juma zinabaki zilezile.
Nimekuwa na wakati mzuri leo, nashuku. Asante kwa wadau wote mnaopendezesha Jukwaa hili, wote kwa ujumla kwa michango tofauti tofauti, kuanzia wakati wa magazeti, sala, historia, UF, na chats za hapa na pale ilmradi tu kila mmoja anabaki kuwa na amani na forum hii.
Pole Bitoz kwa maumivu na ni habari njema kusikia unaendelea vizuri, hii ni kwa makapuku wote wanaougua na kuuguliwa.
lakini pia hongera kwa makapuku wote waliopata mishahara leo, waliokopa wakakopeshwa leo. Ni jambo zuri.
Sasa turudi kwenye ka-kipengele ka Muziki na hasa tukiangalia gitaa nami bila hiyana nakuletea kitu ambacho nachagua nikiamini kabisa utakipenda ukijipa muda wa kukisikiliza.
Leo tunaangalia 'country music'. Oh yeah, sauti nzito na gitaa la bass ndiyo tumeyazoea. Sitoangalia sauti nzito leo. Nitakusikilizisha sauti nzuri, tamu, mchanganyiko wa limau na sukari. Ndiyo, naamini unamjua ninayemleta kwako usiku huu, Dolly Parton.
Niandike nini ambacho hujawahi kukisikia kuhusu mwanadada huyu ambaye ni mmoja wa watu waliobahatika kuwa na uwezo wa kuimba na kupiga vyombo vingi vya muziki, gitaa likiwemo.
Ni mwanamke ambaye katika tasnia ya muziki anaweza kuwa katwaa tuzo nyingi sana kuzidi wanamuziki wengi maarufu unaowafahamu. Nyimbo zake zaidi ya 25 zilishika namba 1 katika chati za Billboard huko USA.
Hii ni mbali ya tuzo 9 za Grammy, 10 za Country na katajwa katika Academy mara mbili.
Kawa walivyo waimbaji wa country walio wengi, Dolly anajua kupiga gitaa. Nyimbo zake maarufu ni kama Jolene, The Coat of many colors, Pain of Loving You (ninaupenda huu). Love is like a butterfly.
Mtizame clip hii ya YouTube akicharaza gitaa kwa umahiri
Huo mdomo!!!3/Greenland Shark
Hawa ni papa wenye jeuri ya kuishi miaka 200 tena wana tabia ya kutafuna samaki wengine humo baharini
Yule mbishi zaidi kurekodiwa aliishi miaka 400
.......
[emoji109] [emoji109]1/Immortal JellyfishTafsiri isiyo easmi ya immortal ni kuishi milele
Yaani Hawa samaki ni km vile huishi milele
Pindi wakijeruhiwa hujibadili na kurudi vilevile!!!
Kiufupi hawajui kufa kwa ugonjwa wala ajali labda wamezwe watafunwe
Hivyo ndo vinara wa kuishi miaka mwingi
..
.
.
.viumbe vya bahari ni ndo vinaongozi kwa kuishi miaka mwingi
Hii inadhihirisha Maji ni Uhai
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Hajambo yupo barazani anapunga upepoMie mzima shem shululu mzima??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] yupo shemu hujamwonaShululu haonekani
Umembana sana??[emoji23]
Picha Tafadhali mke mweeHajambo yupo barazani anapunga upepo
Na ww ni team weka pcha eeeh cmu zetu camera zimaharibika ndo maana shululu alishindwa kumtumia shemeji yke pcha ya kibaoniPicha Tafadhali mke mwee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela ameshaanza kukuharibuNa ww ni team weka pcha eeeh cmu zetu camera zimaharibika ndo maana shululu alishindwa kumtumia shemeji yke pcha ya kibaoni
[emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sawa dadaMungu anasaidia maisha yanaenda kaka
Amen dadaUsikiri hili jambo kaka ,Mungu akubariki udai haki yako[emoji120]
Kawaida tu afande msitaafuHahahahah. Kwanini?? Sasa
Kawaida dada usiogopeMh kwa nini
Asante kwa maombi dada shunieKweli mama mchuchu aikatae hiyo roho
Poa sana KigliiKatibu mambo
Asante kwa ufafaunuzi dada na pale panaonekana pana matuta makubwa na darajaPale penye kibao hicho ni pale darajani panaitwa mpakani,hapo ndipo alipofia marehemu aliyekua mwenyekiti wa FAT WA MKOA MBEYA MIAKA YA NYUMA SASA HV TFF...KWA AJALI YA GARI BUS SCANDNAVIA ENZI HIZO,SIKUMBUKI MWAKA..RIP
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Naharibika eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemela ameshaanza kukuharibu
[emoji120] [emoji120]Sawa dada
Papa3/Greenland Shark
Hawa ni papa wenye jeuri ya kuishi miaka 200 tena wana tabia ya kutafuna samaki wengine humo baharini
Yule mbishi zaidi kurekodiwa aliishi miaka 400
.......
[emoji109] [emoji109][emoji120] [emoji120]