Makapuku Forum

10/Red Sea Urchin Hawa wanasadikiwa kuwa huishi milele maana wanaowarekodi/watunza hufa huku wao wakiendelea kuishi hata baada ya vifo vya watoto wa hao watunza wanyama!!!!!
Wanaishi baharini kwenye n ina cha juujuu kwenye pwani ya bahari ya Pasifiki huko Amerika Kaskazini Wanasadikiwa kuwa na uwezo wa kuishi miaka zaidi ya 200
........
 
9/Koi Fish Hii ni sina ya samaki ambao wastani wa umri wao kuishi ni takribani miaka 25 hadi 30 lakini rekodi zinaonesha wapo walioishi miaka zaidi ya 200!
Huko Japan Koi Fish jike aitwaye Hanako alifariki mwaka 1977 akiwa na umri wa miaka 226 ambao ni umri mkubwa kuizidi Marekani
..... ..
 
8/Long Finned Eel Hawa ni samaki warefu hivyo kufanana na nyoka wanapatikana zaidi huko Australia na New Zealand
Wanasadikiwa kuwa na uqezo Wa kuishi miaka 60 ila aliyerekodiwa aliishi miaka 106
.......
 
Haha hahahaha, wanakufa na kuuliwa sana kwa ajili ya tiba ya limbwata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…