kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
umekuja leo na leo leo unataka uongozi like seriously??Et jaman makapuku wenzangu baada kuiona hii thread ya makapuku kwa mda mrefu humu jf nimevutiwa kuwa mwanakapuku kutoka mitaa ya huku kwetu USHENZINI.
Sasa ni miongozo ipi natakiwa niifuate niwapo humu makapuku forum, na je kuna kiongoz wa makapuku forum? Kama ikitokea kiongoz hayupo kwa heshima zote nitaomba huo wadhifa nipewe mimi kwa sabababu huo ukapuku nauishi huku mtaani kwetu.
===============
Wenu kapuku mtiifu
Kalenga kidamali
ah sawaKisamvu
Muda si mrefu naelekea kibaha mkoaniAaha shemeji nimeshituka we utakuwa unakaa kimara sio kibaha
Hapana dada sijawahi kupangiwa cha kufanya na binadamu mwingine zaidi ya kufuata kipi kinanipa furahaahahha usikute wifi pm huko anamwambia hiyo mbaya badilisha
Aaha shemeji nimeshituka we utakuwa unakaa kimara sio kibaha
Oooh hapo umemanisha baba kwa mama mchungaji unatumia mamaAgonile baba
KheeeeUkija tutakuandalia ugali wa muhogo na kisamvu
SawaTabata kinyerezi
Akaja kujibu na ID nyingineNiliuona huo uzi ijumaa
EnaaNdagaaa
Sawa shemeji jitahidi kutulia nyumbani maana dada akileta malalamiko itakuwa kazi ngumu kusuruhishaMuda si mrefu naelekea kibaha mkoani
Shemeji sikai kimala wala mbezi,amini shemeji yangu
Nimemquote mama mchuchuOooh hapo umemanisha baba kwa mama mchungaji unatumia mama
SawaNimemquote mama mchuchu
AiseeOooh hapo umemanisha baba kwa mama mchungaji unatumia mama
Niliuona huo uzi ijumaa
Istaadhi SwaleheAkaja kujibu na ID nyingine
Hiyo sijauonaAkaja kujibu na ID nyingine
Ila anajitahidi japo anatumia kinyakyusa sio kindaliAisee
Humu hakuna kiongoziEt jaman makapuku wenzangu baada kuiona hii thread ya makapuku kwa mda mrefu humu jf nimevutiwa kuwa mwanakapuku kutoka mitaa ya huku kwetu USHENZINI.
Sasa ni miongozo ipi natakiwa niifuate niwapo humu makapuku forum, na je kuna kiongoz wa makapuku forum? Kama ikitokea kiongoz hayupo kwa heshima zote nitaomba huo wadhifa nipewe mimi kwa sabababu huo ukapuku nauishi huku mtaani kwetu.
===============
Wenu kapuku mtiifu
Kalenga kidamali
Sawa ila mimi najua kupika magimbi, viaz mchemsho, supu ya makongoro, ugali, maharage, chai ya rangi na mchele ule wa bei ya chini. Mm sizijui bagga sijui chiken nini hizo mm sijui kabsa....Humu hakuna kiongozi
Wote yupo sawa
Ila kama shida yako ni kuwa kiongozi
Basi tunakupa uongozi wa upishi
Karibu sana
.......