Kweli hamna namna nyinginemke mwee mimi sina tatizo shida ipo kwa lee kuna uzi niliweka ndio hapo ulipoanzia na nimeomba sana msamaha kuwa nimekosea kuweka ule uzi mara sijui kuna kaka alinianzishia thread pia eb niambie nafanya nini kama mtu hataki kukusamehe ameshaamua sijui kukuacha mara mke wa pili sijui
Atajipaje moyo sasajipe moyo UTASHINDWA
Umenena vema my swiTulia mke mwee hasira zikimuisha naamin mtayamaliza
HaaaaahaaaaYah shululu!
Hata shunie analitambua hilo!
Sema sijui najisahau vipi mpaka inakuwa hivyo.
Huwezi sasa imekuwa kero kwa watu wangu wa karibu ila nachukulia poa tu kwa sababu najua kuna kitu kinanivuta kwenda kwa shunie siyo bure!
Hmm.... I am smelling somethingKunipa hai tu
Huyo huwa anaonekana akiwa na habari za Chelsea tuHongera zake
Yupo, sema jana baada ya ubingwa wa ndala kapiga sana kangara mpaka kaangusha gari.....Hivi bitozi anapatikana humu ndani
Kama wewe hiviAf wewe!!! Acha mazinguzi.....kuna mtu ni mshabiki wa Thimba, manyau/Aseno af na Basalona
Ok hujasema..... Saa ngoja tukuulize.... Lee mtamu Shunie?Aisee usinilishe maneno sio mimi
aisee poa, habari ni vije???
ingiwa umenipa mcheo mkubwa!
Shemela una kazi, kama uko kwa jumaaOk hujasema..... Saa ngoja tukuulize.... Lee mtamu Shunie?
Usikubali Shunie.... Transcend anataka kukufanyia ufisadi tu.subiri Lee atacool down.
Yeeeeeeereh!!!Yah shululu!
Hata shunie analitambua hilo!
Sema sijui najisahau vipi mpaka inakuwa hivyo.
Huwezi sasa imekuwa kero kwa watu wangu wa karibu ila nachukulia poa tu kwa sababu najua kuna kitu kinanivuta kwenda kwa shunie siyo bure!
Hahaaa!aisee poa, habari ni vije???
ingiwa umenipa mcheo mkubwa!
Njia ya kunogesha penzi tumke mwee mimi sina tatizo shida ipo kwa lee kuna uzi niliweka ndio hapo ulipoanzia na nimeomba sana msamaha kuwa nimekosea kuweka ule uzi mara sijui kuna kaka alinianzishia thread pia eb niambie nafanya nini kama mtu hataki kukusamehe ameshaamua sijui kukuacha mara mke wa pili sijui
Hahaaaa!Usikubali Shunie.... Transcend anataka kukufanyia ufisadi tu.subiri Lee atacool down.
Hahaaa! Wewe mkuu unataka vita na mimi..Transcend wacha kuvunja ndoa za watu bhana.
dah,kulitokea shinikizo ikabidi niombe ifutwe!...xaxa inanibidi nitumie hii.Pumbaf ile ID umeipeleka wapi???