Makapuku Forum

Hakika mama mchungaji Mungu awasaidie wamalize matatizo ktk ndoa yao
mke mwee mimi sina tatizo shida ipo kwa lee kuna uzi niliweka ndio hapo ulipoanzia na nimeomba sana msamaha kuwa nimekosea kuweka ule uzi mara sijui kuna kaka alinianzishia thread pia eb niambie nafanya nini kama mtu hataki kukusamehe ameshaamua sijui kukuacha mara mke wa pili sijui
 
Tulia mke mwee hasira zikimuisha naamin mtayamaliza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…