ISAYA 49
14.Bali Sayuni alisema ,YEHOVA ameniacha,Bwana amenisahau.
15.Je !Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyae ,hata asimuhurumie?mwana wa tumbo lake?Naam,hawa waweza kusahau,lakini mimi sitakusahau wewe.
16.Tazama,nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu,kuta zako ziko mbele yangu daima.
Hakika Lee Empire siwezi kukusahau kama Bwana Mungu wetu asivyotusahau daima,you mean alot to me Son