Makapuku Forum

Upo sahihi ila kwa hiyo sentensi ya mwanzo maswali kama haya hayaepukiki.
Kumbe Kuna kuzini na asiye mwanamke?
Ukizin na huyo asiemwanamke utakua una akili au?
Mwanaume ndo kiongozi so yeye anatakiwa kufanya maamuzi katika mambo mengi tu
Sasa katazo halikuainisha hilo,

Lakini wewe ndo umekuja kutujuza kuwa aziniye na mwanamke hana akili (hapo ina maana ni mwanaume ndio ambaye hana akili)
Nataka kujua kuwa hiyo ya wote hawana akili umeipata wapi??
 

Ukiwaza sana zile amri TEN sijui km maisha yatakuwepo sababu dhambi ni sehemu ya maisha
Mfano mwanamke kuvaa suruali tu ni dhambi
..............
Sababu zipo ndo tuendelee kuzifanya au?

Najua hakuna mkamilifu chini ya jua ila tujitahidi kutenda mema
 

Ukiwaza sana zile amri TEN sijui km maisha yatakuwepo sababu dhambi ni sehemu ya maisha
Mfano mwanamke kuvaa suruali tu ni dhambi
..............
Andiko linasema mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume
Kwahiyo sio suruali zote zimekatazwa, zilizokatwa ni za kiume tu

Na pia imeandikwa mwanaume asifunike kichwa hivyo muache kuvaa kofia
 
Sababu zipo ndo tuendelee kuzifanya au?

Najua hakuna mkamilifu chini ya jua ila tujitahidi kutenda mema
Cha msingi tupunguze kufanya maovu....hakuna anayekufa akiwa ana dhambi
Tuwe tunatubu ili tusamehewe na sio kusubiri siku tufe ndo tuombewe
.............
 
Suruali ni suruali ndio maana zina zipu sehemu moja
Kiimani ni mwiko mwanamke kuvaa suruali
.................
Wana exegarate tu hawa viongozi wa dini, ila maandiko yameweka kila kitu wazi.
Ni kama wanavyosema kuwa pombe ni dhambi ilihali maandiko hayajasema hivyo.
Kikubwa ni upendo tu hayo mengine ni mapokeo
Love is my religion
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…