Upo sahihi ila kwa hiyo sentensi ya mwanzo maswali kama haya hayaepukiki.
Kumbe Kuna kuzini na asiye mwanamke?
Ukizin na huyo asiemwanamke utakua una akili au?
Lakini wewe ndo umekuja kutujuza kuwa aziniye na mwanamke hana akili (hapo ina maana ni mwanaume ndio ambaye hana akili)
Nataka kujua kuwa hiyo ya wote hawana akili umeipata wapi??