Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mkuu mimi sina shaka siku ya ndoa itafika ili nijilie tunda bila wasiwasi.Kwahiyo wewe unasubiria ndoa au?
Mkuu mimi sina shaka siku ya ndoa itafika ili nijilie tunda bila wasiwasi.Kwahiyo wewe unasubiria ndoa au?
My oxygen tenaSafi my oxygen.
Nimekumith sana..
Anamfichia siri.Si useme tu kuwa kaenda Sudan?
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo Huyo uliyenae ni brand new auMkuu mimi sina shaka siku ya ndoa itafika ili nijilie tunda bila wasiwasi.
Kabisa.Kwahiyo Huyo uliyenae ni brand new au

Ndio huyo ni my hedexMy oxygen tena
Ndio kazi yake na yamwingizia kipato nitafanyaje sasa.Anamfichia siri.
Kweli mapenzi upofu.Ndio kazi yake na yamwingizia kipato nitafanyaje sasa.
Halafu utanitafutia wa kureplace?Hahaha.
Akizidi kukusumbua piga chini.
Hahahaa...Kabisa.
Nasubiri siku ya ndoa namenya mwenyewe kutoka kwenye maganda yake..
Wewe endelea tu kuokota mitumba*![]()
![]()
![]()
![]()
Mapenzi hayaNdio huyo ni my hedex
Mbona wapo wengi tu.Halafu utanitafutia wa kureplace?
Hahahah hongera sana kijana ila kama kweliKabisa.
Nasubiri siku ya ndoa namenya mwenyewe kutoka kwenye maganda yake..
Wewe endelea tu kuokota mitumba*![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi sina tamaa.Hahahah hongera sana kijana ila kama kweli
Basi saws. Sasa ndoa lini?Mimi sina tamaa.
Subiri kijana utapata card.Basi saws. Sasa ndoa lini?
Ooh kumbeMbona wapo wengi tu.
Hilo usiwaze.
Duh! Usinisahau Mkuu, nataka kula ubwabwa mie.Subiri kijana utapata card.