Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Uwiiiii bado ajaanza kukufundisha kukwea ungo?Mshana sipo nae kaenda kuloga mahali
Uwiiiii bado ajaanza kukufundisha kukwea ungo?Mshana sipo nae kaenda kuloga mahali
Habari za jumapili. Kipenzi.....Asante darling
Ninyi ni familia yanguAmeeen. Umefanya vema
Kweli bro.Ni jumapili nyingine jamani, tuzidi kuombeana uzima.
Namba yako ni ile ile?Nakupm namba unitumie whatsap
Mungu ni mwema kaka.Kweli bro.
Nina imani Mungu yu pamoja nasi.
Hahaha.Namba yako ni ile ile?
Wewe mbona umechafua Biblia hivyo
Safi my oxygen.Habari za jumapili. Kipenzi.....
Siku zote.Mungu ni mwema kaka.
Asante kaka kwa kumbusho lililo jema.
sumbai umeonaaa? Tabia ya kuniomba omba sitaki
Nimeweka msisitizo.Wewe mbona umechafua Biblia hivyo
Hahaha.sumbai umeonaaa? Tabia ya kuniomba omba sitaki
Kwahiyo wewe unasubiria ndoa au?Nimeweka msisitizo.