Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mimi mzima kabisa nilitaka tu niwajulie hali zenuUpendapo kujua Hali zetu, sisi ni wazma. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliembali na upeo WA macho yetu......
Je wewe ni Mzima??????
Mimi mzima kabisa nilitaka tu niwajulie hali zenuUpendapo kujua Hali zetu, sisi ni wazma. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliembali na upeo WA macho yetu......
Je wewe ni Mzima??????
Ubarikiwe sanaaaaNimewaombea wote humu bila kumsahau baby wangu
Asante sana.Karibu tuabudu
Assante WiFi.Mimi mzima kabisa nilitaka tu niwajulie hali zenu
Salama Mr. Upo good eeh?karibu mpendwa, habari yako?
Nipo poa ndugu. Mambo vipi?Karibu mama.
Uko poa?
Na kwako pia my wiiii.msalimie Sana my kakaAssante WiFi.
Jumapili njema kwako
Nadhani umemaliza mamy. Mshana mzima lakini?Nani sija mgea like..?
Mimi mzima kabisa mkuu.Nipo poa ndugu. Mambo vipi?
ndio ndio, natumai nawe pia upo safiSalama Mr. Upo good eeh?
Ninayo mkuu.Wapendwa kwa mwenye video ya ndi ndi ndi ya Jide naiomba. #teamcd#
Mpendwa alafu umeme Hamna. DahIbada ya pili mpendwa
Nakupm namba unitumie whatsapNinayo mkuu.
Mshana sipo nae kaenda kuloga mahaliNadhani umemaliza mamy. Mshana mzima lakini?
Poa poaNakupm namba unitumie whatsap
Tumekumis saanaWazima humu??
Nimewamiss
Nafurahi Kama mmenimisTumekumis saana
Ameeen. Umefanya vemaNimewaombea wote humu bila kumsahau baby wangu