Aisee R.I.PAlikuwa amefariki dunia chumbani kwake August 5 1962
Huku pembeni nikiwa na kilaji na dawa za kule vya(inasemekana ziliwekwa tu ili kupoteza ushahidi)
Ni kifo chenye utata zaidi km cha JFK mwenyewe kilichomkuta
......
Ndio upuuzi wake japo.....Lee anakitamaa flani, labda kama atakuwa anahitaji ndoa ya mitala.
Ni shidaEe tena zambi za kujitakia
huku kwema kiongozi, habari za ijumaaIko gud sana. Vipi kwako!
Tupo kwenye kipindi kigumu sana.Acha tu aisee kila kitu ni shida kiongozi wangu ,.
Yaan sijaona mnyonge anapotokea zaidi mnyonge kazidi kunyongwa mkuu
Maneno tu hataki!!???Anapenda good music tu
Nothing else bro
Ndio upuuzi wake japo.....
Mungu mkubwa, tupo tunakomaa kibishi.huku kwema kiongozi, habari za ijumaa
kweli kabisa
Asante nawe pia tetramelyzHahaha
Shukrani sana shululu
Uwe na mwanzo mzuri wa wikendi pia
Na katika maisha hili ni tukio ambalo anajutia kulitenda, yeye alipaswa kumsaidia huyo mtotoNUKUU YA LEO
“The pain of life overrides the joy to the point that joy does not exist.”
Maumivu ya maisha yametowesha furaha kiasi kwamba hakuna furaha tena
Haya ni maandishi wala sio maneno, ni maandishi yaliyoachwa kwenye ujumbe kabla ya kifo ( suicidal note) na mwanajeshi/ maandishi na mpiga picha maarufu Bw. Kevin Carter.
Kevin Carter alizaliwa nchini Afrika ya kusini tar. 13/9/1960 na kufariki tar 27/07/1994 kwa kujifungia kwenye gari yake na kuvuta hewa ya carbonmonoxide.
Kevin carter alikuwa na mwanajeshi wa jeshi la wakaburu miaka ya 1980, alifanya kazi kamandi ya infantry kabla ya kukimbilia kamandi ya anga baada ya kutoweza kuvumilia mauaji ya watu weusi.
Kevin aliumizwa sana na ubaguzi wa watu weusi, kevin aliumia sana namna watu weusi wivyouliwa, wanawake kibakwa n.k
Baadaye kevin aliondoka jeshini nila ruhusa (Awol) absence without leave.
Kevin alipata umaarufu mwaka 1993 baada ya picha yake aliyopiga nchini sudan , kevin alimpiga picha mtoto mwenye njaa na mdhoofu akiwa anafuatiliwa na kunguru.
Kevin alitumia zaidi ya dakika 10 kupiga picha hiyo...ambayo ilikuja kuwa maarufu duniani kote na kupelekea kupata tuzo ya Pultizer Prize ya upigajipicha.
Kevin aliumizwa na maisha waliyoishi watu weusi..
picha aliyopiga Kevin Carter nchini sudani
Back to Jf and kapukuz...
Ktk maisha ya kila siku kuna watu wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa chakula, kwa kudhulimiwa na kifanyiwa fitina katika maisha..
Kama utashindwa kuwasaidia kwa nafasi yako, basi jitahidi usiwe sehemu ya watesaji.
kevin Carter mwenyewe.
Jtatu nitaendeleza Suicide note ya Kevin Carter.
Jtatu nitaelezea vizuri kwanini hakumsaidia yule mtoto..Na katika maisha hili ni tukio ambalo anajutia kulitenda, yeye alipaswa kumsaidia huyo mtoto
Pamoja mkuuasanteni kwa vipindi brazas
shululu mzee wa minyuz
Mussolin historia
Transcend kanukuu nimekaelewa
Bitoz mzee wa mapicha picha
Nyagei wa UF nasubiria ratiba
habari za asubuhi familia yangu
Naona umepata mchumba sasa...!Hii ni kwa mrembo demi
Awe na siku tulivu
Alisema leo usiwe desperate
Hapana mpaka avurugwe kwanza
Nahisi ndo aliosema atakuwa analeta kila siku.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Hapana ni ukarimu kwa mgeni tuNaona umepata mchumba sasa...!
Nisubirie barua ya kujiuzulu ama?