Umekuwa ukidhani hivyo mara kwa mara, ipo siku uraona tofauti yetu katika kuandika.
Mdau, wanasema duniani wawili wawili na tone yangu ya kuandika ni tofauti kidogo na
SHIMBA YA BUYENZE . Mimi naandika kiurahisirahisi, yeye huandika tofauti na mimi.
Ni kama maandishi ya Sembene Ousmane na Ngugi