Makapuku Forum

Niko nakomaa na mrembo demi hadi anikubalia. Akikubali nitamtoa 'out' hadi alikotokea SHIMBA YA BUYENZE akapaone Gamboshi.
Karibu sana mkuu. Gamboshi nitakupeleka mwenyewe. Tunajaribu kuipromote Gamboshi na Kolomije kama vituo muhimu vya utalii wa ndani. Utapafurahia sana hasa nyakati za usiku "ukifunguliwa" macho na kuona!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…