Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante sana wifi, ulale salama piaUck mwm my wii
Ulale Salama
Asante sana wifi, ulale salama piaUck mwm my wii
Ulale Salama
Nani kakudanganya????
Utasubiri sanaaaaaMimi ndio nakuambia.
Utasubiri sanaaaaa
Utasubiri sanaaaaa
HeheheheheheheSisi wote wa mchangani
vzuri sanaHahahahahaha ndio hivyo......
Kama kawa kama dawaraia mnalisongesha kama kawa..
Halali leo twaenda kukeshaUck mwm my wii
Ulale Salama
kama jana yaaniKama kawa kama dawa
Umeona eekama jana yaani
nehiUmeona ee
Mkuu wa majeshi unapolala saa mbili inakuwaje hiidah leo nimechoka sana dakika ishirini zilizo pita ndo nmetoka kushuka kwa ndege na mshukuru allah nimefika salama
show ya jana pale Kinshasa ilikuwa hatarii WENGE BCBG walimfunika KOFI OLOMIDE
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
Mbona week end ni kawaida tu hapa KP kuwa na watu wachache ??Uzi umedoda
Unasemwa hapaMbona week end ni kawaida tu hapa KP kuwa na watu wachache ??
Nilidhani nawe umelala mpendwaMbona week end ni kawaida tu hapa KP kuwa na watu wachache ??
Sasa mi wala simkohoi naona anatafuta kiki tu kunitaja taja bila sababu
Unafagilia vitambi eeeMkuu wa majeshi unapolala saa mbili inakuwaje hii