sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
Unahitaji maombi!![]()
pastor
wapo wanaruka tu viunzi mida hiiViumbe wanakoroma mda huu
Waruke na kukanyagana tuwapo wanaruka tu viunzi mida hii
Maombi ni burendio lakini sina sadaka![]()
![]()
au ya mkopoMaombi ni bure
Hakuna kukopaau ya mkopo
basi sawa nipatie huduma mtumishiHakuna kukopa
Pokea hitaji la moyo wako katika jina la Yesu...amen![]()
pastor
basi sawa nipatie huduma mtumishi
hahahaaaa mbona maombi mafupi sana au vile sijatoa sadakaPokea hitaji la moyo wako katika jina la Yesu...amen
Maombi ya imani hayana mbwembwehahahaaaa mbona maombi mafupi sana au vile sijatoa sadaka
basi sawa nashukuru kwa huduma pastorMaombi ya imani hayana mbwembwe
Amini imekuwaMaombi ya imani hayana mbwembwe
Shem yuko harusini?basi sawa nashukuru kwa huduma pastor
kwa nini hujakwenda nae?Shem yuko harusini?
Siemdagi na wake za watu ni sumukwa nini hujakwenda nae?