Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sio kwamba watu wamelala Bali wako kiwikiend zaidiNilidhani nawe umelala mpendwa
Sio kwamba watu wamelala Bali wako kiwikiend zaidiNilidhani nawe umelala mpendwa
Uchovu wa jana kuna dada mmoja wa MALAWI alicheza mpaka akavunja kiunoMkuu wa majeshi unapolala saa mbili inakuwaje hii
haujadoda banaUzi umedoda
Sawa mkuuUchovu wa jana kuna dada mmoja wa MALAWI alicheza mpaka akavunja kiuno
ila usihofuu mimi ni mkuu vijana wapo doria usalama umeimarishwa
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI
MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
Ndo ivoSasa mi wala simkohoi naona anatafuta kiki tu kunitaja taja bila sababu
Mtu mwenyewe hana point, sasa alidhani akianzisha uzi wa kujikomba komba kwa wakongwe atatoka ila naona kaangukia pua na likes zake 11

We naeeeeUnafagilia vitambi eee
Nilijisikia tu kumjibu but tukiendelea kuwajibu ndo tunampaishaMtu mwenyewe hana point, sasa alidhani akianzisha uzi wa kujikomba komba kwa wakongwe atatoka ila naona kaangukia pua na likes zake 11![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni kweli, na tutaufanya uzi wake upate replies zisizo na sababuNilijisikia tu kumjibu but tukiendelea kuwajibu ndo tunampaisha
.............
N salama mkuu vp ww na famil n wazimaaNi nzuri braza, habari ya maisha!
le mdogoz
Viva Barcelona![]()
![]()
Barca![]()
............
Usiku mwema wote
Uko poa mkuuPost ya 20000
Samoohabari za hapa mjengoni![]()
naam baba paroko #jambiloSamoo
Sema pastornaam baba paroko #jambilo