Serengeti Boys wapo vizuri tatizo wafupi km stuli pia kukosekana kwa mpiga freekick mjanjamjanja ni tatizo pamoja na kushindwa kuua mechi
Kuna watu hapa tulivyodraw na Mali walikuwa vinara wa kuponda eti jatimu gani kanapaki basi nikawauliza mnaijua Mali? Subirini mechi ijayo mtaona
Na leo wamezibwa midomo
Mechi ijayo tukikaza tunapiga tu na kusonga mbele maana hadi sasa Niger wanaona nyota tu kwa Mali
.........
1/Lake Hillier
Hili pia lipo Australia
Rangi yake ni ya kudumu hata maji yake yakichotwa bado hubakia vilevile
Wanasayansi hadi leo hawajui sababu
.
.
.
.
.
Shukrani kwa waliosapoti mada
Tukutane kesho Mwisho
..........