Makapuku Forum

Hongera serengeti boys
Serengeti Boys wapo vizuri tatizo wafupi km stuli pia kukosekana kwa mpiga freekick mjanjamjanja ni tatizo pamoja na kushindwa kuua mechi

Kuna watu hapa tulivyodraw na Mali walikuwa vinara wa kuponda eti jatimu gani kanapaki basi nikawauliza mnaijua Mali? Subirini mechi ijayo mtaona
Na leo wamezibwa midomo

Mechi ijayo tukikaza tunapiga tu na kusonga mbele maana hadi sasa Niger wanaona nyota tu kwa Mali
.........
 
Good music babaa
Thanks for it.
Ila Obe itanichukua muda mrefu kuamini kua ww na Shimba ni watu tofauti..
 
Nimewaona, pia hawana stamina kabisa, angalia yule aliyekosa gori dakika za mwisho mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…