Jaribu kuupdateFuatana nami nikielezea kwa nadharia
mie natumia compyuta mara nyingi
nikifika pale kwenye menu ya create thread , napata mtirirko wa general forums tu na forum ya mwisho inayoonekana kwangu ni Politics
Nimeomba maelezo mara kadhaa kutoka kwa wahusika ikiwa ninakosea namna ya kufika lakini sijawahi pata msaada wowote. kwenye forums nyingine mfano majukwaa yangu pendwa ni ya ujasiriamali, mmu na la kikubwa siyaoni na sijui nafikaje huko
mbaya zaidi siku moja nilikuwa nahitaji ushauri wa kitabibu na nilikuwa porini JF amabyo siku zote niliitegemea sana upande huo ikanilet down kwa kuwa nilishindwa kupost thread kwenye jukwaa hilo
Nimekuwa najiuliza kama nimepigwa ban au ni kitu kingine as wakuu mods ahakauna hata moja mpak leo hii mkuu Youngblood una respond wewe ndio mtu pekee walau umeonyesha hata kutakakujua nini kinanisibu
Naanza kufikiria kulipia kuwa Premium member labda huko nafuuu
au nilipigwa BAN sijajua?
Mkuu ngoja kwanza niwashe pc nichek hapo kwenye tatizo then nitarudi.Fuatana nami nikielezea kwa nadharia
mie natumia compyuta mara nyingi
nikifika pale kwenye menu ya create thread , napata mtirirko wa general forums tu na forum ya mwisho inayoonekana kwangu ni Politics
Nimeomba maelezo mara kadhaa kutoka kwa wahusika ikiwa ninakosea namna ya kufika lakini sijawahi pata msaada wowote. kwenye forums nyingine mfano majukwaa yangu pendwa ni ya ujasiriamali, mmu na la kikubwa siyaoni na sijui nafikaje huko
mbaya zaidi siku moja nilikuwa nahitaji ushauri wa kitabibu na nilikuwa porini JF amabyo siku zote niliitegemea sana upande huo ikanilet down kwa kuwa nilishindwa kupost thread kwenye jukwaa hilo
Nimekuwa najiuliza kama nimepigwa ban au ni kitu kingine as wakuu mods ahakauna hata moja mpak leo hii mkuu Youngblood una respond wewe ndio mtu pekee walau umeonyesha hata kutakakujua nini kinanisibu
Naanza kufikiria kulipia kuwa Premium member labda huko nafuuu
au nilipigwa BAN sijajua?
Toa tamko basi mana mida kama hii speed yetu humu ndo inaongezeka kwa kasi...unataka nini kwani?Mkuu hili jukwaa mlilifungua kwa sababu za ubaguzi mnaoupata kwa kutukanwa na wakongwe, naona sasa ninyi ndo mmekuwa wa ...!
Rais wenu Bitoz naona ndo anaongoza sasa hivi kwa kejeli hata za kukaribia kuwazidi wakongwe.
Sasa una tatizo na nani... Maana ukimgusa mmoja humu wote wanaumia.... Haya sema
Mkuu Horseshoe Arch, mawazo yako ni mazuri sana nimeyapenda. Na ni siku kadhaa zilizopita nilikuwa nahitaji ramani ya nyumba atleast yenye vyumba viwili(ikiwemo master room), sebule na kitchen, ikiwa na mjumuiko wa gharama nzima ya nyumba yote.
Nahitaji sana msaada wako braza.
Kwaiyo we mchokozi!!!? Basi haya tushakuelewa.. Tunaweza endelea?Baadhi ni test unafanyiwa, kuna mtu anaweza kukuchokoza makusudi tu ili aone reaction yako, na kama uk-react kwa jazba yeye anascore na kuna watu watakuona aah, kumbe naye ni wale wale.
Baadhi ya confrontation unaziacha kama hazikupunguzii kitu wala kushusha thamani yako.
Afadhali..Mkuu umechelewa kidogo tu, ligi imeshaisha.
asante na shukrani kwa kujitolea kwenu
Salama kabisa kaka.Oyooo kwema huku habari ya siku wakuu
Poa mazee naona uko mkuuSalama kabisa kaka.
Mishe vipi?
Au ukitaka njia simple tumia Android App ya Jf.asante na shukrani kwa kujitolea kwenu
Nipo kaka.Poa mazee naona uko mkuu
Nipo mkuu.Poa mazee naona uko mkuu
Stoke city siku hizi wamekuwa mtori