Wakuu nawasalimia kupitia jina kuu lipitayo majina yote.... Mimi ni mzima kabsa , majukumu tu ndo yalikuwa yamenitinga ila pia na tumai na nyie mko poa na shughuli zenu za kuwapatia mkate za kila siku....Mungu awabaliki wote....
nimeamka salama !! yule nae anavisa sana anajifanya aelewi wakati maneno yanaeleweka ........ ....... ......vip lakn mtani hali vipUmeamkaje Shedede? Uko mwepesiiii! Naona ume-calm down hata typos zimepungua! Jana Mkongoman ilibidi ajivike u-Faiza Foxy ili kutusaidia tuelewe ulichokuwa unajaribu kukisema.
Umeamkaje Shedede? Uko mwepesiiii! Naona ume-calm down hata typos zimepungua! Jana Mkongoman ilibidi ajivike u-Faiza Foxy ili kutusaidia tuelewe ulichokuwa unajaribu kukisema.
Maumivu ya kawaida tu mtumishi. Ndiyo nimemaliza kuongea na mama kumpa Happy birthday. Ni mzee sana (mi ni last born wake) na afya yake inayumba. Alinisomesha single handedly na namshukuru Mungu Angalau amemuweka hai mpaka sasa ili japo aonje faida yake kunisimamia nisome katika shida na raha.NIMEFURAHI KUKUONA ,UNAENDELEAJE?
nimeamka salama !! yule nae anavisa sana anajifanya aelewi wakati maneno yanaeleweka ........ ....... ......vip lakn mtani hali vip
Typo na mambo yasiyoeleweka yameanza tena. Mkongoman njoo huku uendelee kusahihisha makosa haya. Ikibidi utafute na kibwagizo kabisa na ikishindikana tumia tu hata kile cha Faiza..."Huko shuleni mlienda...."kwa sasahivi ataukiyajua kuwa anaumbo la kimisi haikuhusu wacha kuipiga busu
unashagadia ujingaTypo na mambo yasiyoeleweka yameanza tena. Mkongoman njoo huku uendelee kusahihisha makosa haya. Ikibidi utafute na kibwagizo kabisa na ikishindikana tumia tu hata kile cha Faiza..."Huko shuleni mlienda...."
Unashagadia = unashadadiaunashagadia ujinga
hahaha..h naelewa mtani sinaga historia ya kupanick mkuu .....some to youUnashagadia = unashadadia
Vipi shedede, umepanick nini? Ni utani tu mkuu wangu. Nothing less, nothing more. Have a nice day!
Wazungu huwa hawajali sana.Hata mimi nimewahi sikia,ila ni dhambi kubwa kwa hawa wazungu
Janet Jackson
Nice to hear from you sir. Shunie wako tangu jana analalamika hayuko sawa. Pengine upweke. Halafu na mlinzi naye kapata mke hiyo hiyo jana kakitoa basi shida juu ya shida. Ubarikiwe huko uliko na kazi za mikono yako zikalete faraja!wakuu natanguliza salaam... wakubwa na wadogo heshima kwenu viongozii
nawashukuru sana familia hii pendwa kwa love ya kutosha mnenifikisha hapa nilipo ..i thanks all
japo ubize unakuwa mwingi ila tukibahatisha network kama hivi cha kwanza ni kujua familia inaendaje ..
love you all ...japo nimeskip pages
Kabisana alegee ikibidi
Nice to hear from you. Shunie wako tangu jana analalamika hayuko sawa. Pengine upweke. Halafu na mlinzi naye kapata mke hiyo hiyo jana kakitoa basi shida juu ya shida. Ubarikiwe huko uliko na kazi za mikono yako zikalete faraja!
Niaje mtoto wa Maowakuu natanguliza salaam... wakubwa na wadogo heshima kwenu viongozii
nawashukuru sana familia hii pendwa kwa love ya kutosha mnenifikisha hapa nilipo ..i thanks all
japo ubize unakuwa mwingi ila tukibahatisha network kama hivi cha kwanza ni kujua familia inaendaje ..
love you all ...japo nimeskip pages
uko poa ....saaa 12Jaman Game ya Spurs na Man n saa ngapi,?
18:30Jaman Game ya Spurs na Man n saa ngapi,?